Watoto wa vigogo na ajira BoT

Watoto wa vigogo na ajira BoT

kama hamuamini leteni elimu ya huyo mtoto wa Kigoda

jabir amemaliza ifm thn masters kasoma conventry university..we baki na certificate yko ya zoom utafanya kazi stationery mpka Lema anakuja kua rais wa tanzania
 
sasa kama wamesoma shule za maana kuanziq primary, degree wamechukua usa huko masters uk utataka ushindane nae wewe mtoto wa ifm ?
Usinichekeshe.....

Kama kigezo ndo hiki Tanzania na ufisadi inawezekana
 
jabir amemaliza ifm thn masters kasoma conventry university..we baki na certificate yko ya zoom utafanya kazi stationery mpka Lema anakuja kua rais wa tanzania

Upambe si mchezo mkuu,,,ila una haki ya kuongea!
 
Wafuatao ni wafanyakazi wa Benki kuu ya Tanzania :-
1. Filbert Sumaye
2.Beatrice Bomani
3.Pamela Lowassa
4.Zakaria Kawawa
5.Salama Mwinyi
6.Salama Mahita
7.Rachel Msekwa
8.Jane Sitta
9.Jasmini Karume
10.Radhia Shein
11.Justina Nchimbi
12.Blasia Benjamin W. Mkapa
13.Jerome Diallo
14.Likele Ngasongwa
15.Andy Magufuli
16.Thomas Mongela
17.Jabir A. kigoda
18.Marry Mramba
19.Ismail Meghji

MTOTO WA MKULIMA KAMA MIMI TUTASUBIRI SANA HIYO NAFASI...
SOURCE: Chanzo cha Kuaminika 100%

sitaki kuamini na ipo siku ukweli utafahamika tu,its just a matter of time
 
Aisee pole sana mlaumu mzazi wako kwa kuacha kuingia kwenye system mapema. Hata hivyo nakushauri uachane na mawazo ya kufikiria BOT wakati siku hizi kuna hadi saccos za kaya ambazo unaweza kupata kazi hapo.
 
Wafuatao ni wafanyakazi wa Benki kuu ya Tanzania :-
1. Filbert Sumaye
2.Beatrice Bomani
3.Pamela Lowassa
4.Zakaria Kawawa
5.Salama Mwinyi
6.Salama Mahita
7.Rachel Msekwa
8.Jane Sitta
9.Jasmini Karume
10.Radhia Shein
11.Justina Nchimbi
12.Blasia Benjamin W. Mkapa
13.Jerome Diallo
14.Likele Ngasongwa
15.Andy Magufuli
16.Thomas Mongela
17.Jabir A. kigoda
18.Marry Mramba
19.Ismail Meghji

MTOTO WA MKULIMA KAMA MIMI TUTASUBIRI SANA HIYO NAFASI...
SOURCE: Chanzo cha Kuaminika 100%

Mkuu isije kuwa umeamua kuwachafua majina tu.
Tafadhani weka data vizuri kwa kutuonyesha wanafanyia Idara gani pale BOT ili kuwezesha ufuatiliaji mzuri wa utendaji/madudu yao ambavyo vitatuwezeshaji kujua kama wamepeana kazi bila kuzingatia Uwezo
au lah!
 
Iko fresh tu, nan alimkataza mdingi wako asiingie kwenye system enzi hizo wenzie wanapigwa umande kwenda skonga yeye anajifanya mjasiriamali wa kuchoma mkaa jion anatesa kijijin kwa vijisent kutesa kwa Zamu, janga alochuma mdingi wako ndo hilo linakupanikisha mpaka unaanza umbeya wa kibwege! Onesha hawana vigezo sio kuleta bla bla, wewe na ki advance chako cha CBE au kidiploma cha Zoom unategemea upigwe na kipupwe cha Twin towers, Peleka CV yako Finca ndo levo zako!

Mkuu mbona umejibu kwa hasira? umeguswa nini!
 
Kati ya topic za kibwege mojawapo ni hii. Kwanza haina utafiti wowote wa kina, pili imejaa udaku na upumbavu. Badala ya kujadili mambo yanayolisibu taifa hili tunaletewa kujadili upuuzi. Leta hoja zenye nguvu. Mfano content za Mikataba 19 iliyosainiwa na rais wa china, ujangili uliokithiri wa tembo, issue ya Loliondo, gesi, madini, ukwepaji kodi na misamaha ya akina riz1. Huko BoT kuna kizungumkuti cha stimulus package. Hayo ndio mambo ya kutafakuri.
 
Duh! Mkuu unaonesha una PhD ya kashfa! Kwa hiyo wote wenye kufanya kazi Finca na mashirika kama hayo baba zao walikuwa wachoma mkaa?
 
Acha wewe!!. Si kuna baadhi yao walikamatwa hawana hata vyeti vya form 6, wakapelekwa mahakamani Kisutu. Kesi ikazimwa. Ushasahau!!!
mmoja wa waliopandishwa mahakamani alikuwa mtoto wa waziri wa elimu wa wakati huo JOSEPH MUNGAI
 
Kati ya topic za kibwege mojawapo ni hii. Kwanza haina utafiti wowote wa kina, pili imejaa udaku na upumbavu. Badala ya kujadili mambo yanayolisibu taifa hili tunaletewa kujadili upuuzi. Leta hoja zenye nguvu. Mfano content za Mikataba 19 iliyosainiwa na rais wa china, ujangili uliokithiri wa tembo, issue ya Loliondo, gesi, madini, ukwepaji kodi na misamaha ya akina riz1. Huko BoT kuna kizungumkuti cha stimulus package. Hayo ndio mambo ya kutafakuri.

We ni no ngapi kati kuanzia hapo 1-19? Hata hii inahusu katika sekta nyingi nyeti kuna UNDUGULIZATION
 
Mkuu isije kuwa umeamua kuwachafua majina tu.
Tafadhani weka data vizuri kwa kutuonyesha wanafanyia Idara gani pale BOT ili kuwezesha ufuatiliaji mzuri wa utendaji/madudu yao ambavyo vitatuwezeshaji kujua kama wamepeana kazi bila kuzingatia Uwezo
au lah!

Mkuu aliyechafuliwa aende Mahakamani nitatoa ushirikiano,,,MSEMAKWELI
 
Back
Top Bottom