Watoto wa Mjini Dar

GAME THEORY,now you are talking,huyu ALI MAPILAU yupo? hata home alishapata tender,wish i could push back the hands of time
 
Hii thread ni ya watoto wa mjini ambao ni members wa JF

Wakuja msihofu sana maana hatutowabagua kama Dar palikuwa ni transit lakini ukweli ni kuwa Dar ina wenyewe na wenyewe ndio sisi na tunajuana

haya nani kati yenu hajamuuzia FILIPINO pale stendi nyuma ya Steak Inn(kabla hajahamia kule relwe) CD na mambo ya electroniki?

By the way huyo FILINO mwenyewe alikuwa ni wa kuja
 
Last edited by a moderator:
GAME THEORY,tunaomba uspecify utoto wa mjini? je wewe ni generation ya kwanza au ya pili kukaa mjini.
 
Hii thread ni ya watoto wa mjini ambao ni members wa JF

Wakuja msihofu sana maana hatutowabagua kama Dar palikuwa ni transit lakini ukweli ni kuwa Dar ina wenyewe na wenyewe ndio sisi na tunajuana

haya nani kati yenu hajamuuzia FILIPINO pale stendi nyuma ya Steak Inn(kabla hajahamia kule relwe) CD na mambo ya electroniki?

By the way huyo FILINO mwenyewe alikuwa ni wa kuja

Haya GT naona leo post zako moto!!!!! Sijajua target bado?? Au tuseme your altimate goal of some of your postings some of these days???? Mhhhhhhhhhhh.
 
Hii thread ni ya watoto wa mjini ambao ni members wa JF

Wakuja msihofu sana maana hatutowabagua kama Dar palikuwa ni transit lakini ukweli ni kuwa Dar ina wenyewe na wenyewe ndio sisi na tunajuana

haya nani kati yenu hajamuuzia FILIPINO pale stendi nyuma ya Steak Inn(kabla hajahamia kule relwe) CD na mambo ya electroniki?

By the way huyo FILINO mwenyewe alikuwa ni wa kuja

Mkulu,

Mbona hujaeleweka kwenye hili bandiko lako,au mimi tu sijakuelewa?
Steak Inn na FILIPINO imekuaje au imekujaje hapa?
Embu jaribu kupambanua ili nielewe kama hauta jari sana..!
 
Talk about Muhimbili

Hivi ALI MAPILAU bado yuko pale au?
GT,
Hiyo nakuambia ilikuwa mwaka 1974???? Ulikuwa umeshazaliwa? Nilikuwepo hapo kwa siku moja na sikumbuki chochote zaidi ya kuwa niliokota BOMBA la sindano na nikawa natumia kuwarushia watoto maji. Miaka hiyo ndiyo KONI za mzee Bakhresa zinaingia. Unalamba Ice-Cream na kutupa Biskuti :)
 
Kweli mwenzetu ni kijana. Ulimuuzia jamaa CD? Naona sisi wa Osibisa, Kool and the Gang, Brass Construction, Brothers Johnson, War, Temptations, Commodores, Carlos Santana, Marvin Gaye. Chaka Khan, Millie Jackson, KC and the Sunshine Band, Earth, Wind and Fire, the Wailers, Sunburst, the Barkays, the Barkeys, Isaac Hayes, Otis Redding, George McCrae, Staple Singers..........tukae pembeni!
 
Gee! Do we really need this type of thread here!? :confused:
Kwanini tundelee kubaguana badala ya kujuimuika hapa kama Watanzania na kujadili mada mbali mbali za nchi yetu na dunia nzima!? Udini, sasa utoto wa mjini na wasio watoto wa mjini si ajabu na ya ukabila itatundikwa muda si mrefu. Hatuyataki haya ya kubaguana!!!
 
Mimi sioni ubaya wa hii thread ndo maana kuna jukwaa mbalimbali siasa,dini,mahusiano n.K!
 
Naona JF sasa kinataka kuwa kama "kijiwe cha wauza na wanywa kahawa". Hii thread imekaa kilimbukeni, yaani sisi kule kwetu limbukeni ni "mtu ambaye huwa kila wakati anataka watu wamjue yeye ni nani na ana nini". Haya sisi wakuja ngoja tukae pembeni
 
Kwenye Udini kumejaa chuki, matusi na kashfa za hali ya juu na wanachama mbali mbali wamelalamika kuhusu yanayotumwa huko. Kuna tofauti kubwa ya forum ya udini ukilinganisha na jukwaa la siasa na mahusiano ambako hakuna mambo kama hayo na tofauti hiyo ni kama usiku na mchana.
 
Naona JF sasa kinataka kuwa kama "kijiwe cha wauza na wanywa kahawa". Hii thread imekaa kilimbukeni, yaani sisi kule kwetu limbukeni ni "mtu ambaye huwa kila wakati anataka watu wamjue yeye ni nani na ana nini". Haya sisi wakuja ngoja tukae pembeni
Hapa ni Celebrities Forums, so hakuna mbaya yoyote kwa thread hii kujitanua..
 
Hii thread ni ya watoto wa mjini ambao ni members wa JF

Wakuja msihofu sana maana hatutowabagua kama Dar palikuwa ni transit lakini ukweli ni kuwa Dar ina wenyewe na wenyewe ndio sisi na tunajuana

haya nani kati yenu hajamuuzia FILIPINO pale stendi nyuma ya Steak Inn(kabla hajahamia kule relwe) CD na mambo ya electroniki?

By the way huyo FILINO mwenyewe alikuwa ni wa kuja

GT,

Watoto wa mjini wenyewe hawasemi kwamba wao ni watoto wa mjini, wanasemwa hivyo.

Filipino aliniuzia (no, alinirekodia kwenye cassette) CD ya Charlie Chaplin "The Old and The New Testament" enzi hiyo kupata reggae kama hizo bahati sana, akanishushia vitu vya Macka B baharia wangu nikawa sikosi kuangalia vitu vipya.

In any case Filipino is quite a recent addition for one to brag copsmopolitanism about. Niambie kama ushawahi kwenda shamba Mbezi Tangi bovu, au unajua nini Hellenic Club, umeshaona mashindano ya breakdance ya Chuche, Tass na Omari, unakumbuka Msimbazi St wakati haijawa crowded, ushawahi kwenda Azania front halafu kila mtu wa tatu unayekutana naye mnasoma wote au mnajuana kianina fulani, I'm talking about KAMATA and Icarus kumbakumba, when Kurasini was Temeke district's Oysterbay and Oysterbay was unknown to us mere mortals.

Depopulate Dar to those days' population and I might entertain the idea of coming back.
 
Hapa ni Celebrities Forums, so hakuna mbaya yoyote kwa thread hii kujitanua..

Hapo nimekuelewa, mi nilikuwa sijui kuwa "kuwa mtoto wa mjini ni celebrity" na "kuuza CD ni celebrity". Nashukuru kwa kunipa msamiati mpya nilikuwa sielewi
 
Nina collection kubwa ya hawa wanamuziki. Hivi nifanyeje ili niweze kuziweka hapa?
 
Kweli mwenzetu ni kijana. Ulimuuzia jamaa CD? Naona sisi wa Osibisa, Kool and the Gang, Brass Construction, Brothers Johnson, War, Temptations, Commodores, Carlos Santana, Marvin Gaye. Chaka Khan, Millie Jackson, KC and the Sunshine Band, Earth, Wind and Fire, the Wailers, Sunburst, the Barkays, the Barkeys, Isaac Hayes, Otis Redding, George McCrae, Staple Singers..........tukae pembeni!

Message ya kwanza nilisaha ku quote.

Nina collection ya hawa wanamuziki. Nifanyeje ili niweze kuweka muziki wao hapa?
 
Back
Top Bottom