markbusega
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 826
- 846
Kwa kumbukumbu zangu ni vimiminika vinavyochanganyika lakini "boiling points" kama pombe na majiMimi sio mtoto wa form one. Naufananisha na njia mtambo niite wanayotumia wakemia kutenganisha vimiminika viwili visivyochanganyikana
Sent using Jamii Forums mobile app
Inafanana na Retort, kuliko walichotaka kutengeneza.View attachment 1012425
Africa tuna mambo mengi ya ubunifu.......sijui huu mtambo unaitwaje na unatengeneza nini? je hapa tz ni maeneo gani hasa mtambo huu unapatikana........
Kwa kumbukumbu zangu ni vimiminika vinavyochanganyika lakini "boiling points" kama pombe na maji
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtambo wa kutengeneza pombe aina ya gongo.Samahani mkuu kwa kiswahili ni nini, maana wengine tumeishia LA TATU B
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa hiyo ni method of separation of mixture. Je, mtambo wenyewe unaitwaje?