MSUKUMA02
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 485
- 1,156
Mimi ninae wa 35 kumbe ni mshangazi tayariKuanzia 30
Mimi ninae wa 35 kumbe ni mshangazi tayariKuanzia 30
Hata siku moja ktk maisha yangu sijawahi kutegemea Mwanamke na hii imenifanya niheshimike popote hata awe na hela kiasi gani siwezi kudowea hata sh Mia yakeKaka dunia ya Leo ukitaka miliki mshangazi special usitegemee kuhudumia, toa mkwanja wewe ili ustand as a man
Hapana huyo bado, wengine huwai sababu ya maumbo Yao, wenye maumbo makubwa wanawahi sana kua mishangazi tofauti na slim girlsAnhaaaa Mimi ninae wa 35 kwa hiyo mnamweka kwa mishangazi au sio?
Mfano Rihanna na yule mwamba ASAP yule mwana nae anachakalika sio home boy, hapo anajigongea mshangazi Rihanna KIROHO safi, na heshima juuHata siku moja ktk maisha yangu sijawahi kutegemea Mwanamke na hii imenifanya niheshimike popote hata awe na hela kiasi gani siwezi kudowea hata sh Mia yake
Kazi ipoUnasikitisha sana mtu kutaka mshangazi anataka kuelewa, basi kuelewa wako kwenye mapenzi upo chin sana pole
Kulelewa ni kijana asie na kazi mtu ana kazi yake unasemaje analelewaKazi ipo
ment tuu ili nipate notification nirud kusoma Uzi, mzeeKulelewa ni kijana asie na kazi mtu ana kazi yake unasemaje analelewa
Nasimama na mishangazi asee inajua inajua tena, Niko tayari kuoa mshangazi ndio vitu vyangu asee nipe nikupeTundu Lissu anasota gerezani kupambania akili kama hizi
Na mHivi mishangazi inaanzia miaka mingapi wakuu? au liwe limekuzidi miaka mingapi?
SuuHapana mwingine kama upo tayari sema suuuu
Enjoy good times kijana wangu, huyu ni mpemba yupo hapo visiwani USIUMIE sana kama vipi dandia mashua swiuiiiiiiiiiiii
Sasa naidandia mashua kwenye picha?Enjoy good times kijana wangu, huyu ni mpemba yupo hapo visiwani USIUMIE sana kama vipi dandia mashua swiuiiiiiiiiiiii
Singida kuna tatizo ganiMko vizuri sana isipokuwa kama anatoka singida hakuna kitu utaambulia
Na maua yenu mnajua mnajua mnajua tena mmekua mnajielewa nilimiliki mshangazi na nilimiliki mtoto wa elfu mbili Kwa kweli, mshangazi ulinipa raha, sijawahi omba hata mia ila mi ndio nilikua natoa pesa
Leo dada kama Jimbo lipo wazi Fanya Fanya basi unajua nime miss sana good timez, mana ephen haeleweki, aizat ndo kabisa sa mi nifanyejeMishangazi ilindwe mama samia ongeza ulinzi