Ipo wapi hii?FEEDBACK: Finally baada ya kuulizia huku na kule nimeenda GULAMALI'S ....STEAK HOUSE AND MULTI CUISINE
We had unforgettable moments with fam.
Asanteni Sana kwa michango yenyu.
Wadada pale hawana adabu..wanaogelea na kutembea na bikiniKwanini Boss?
iko karibu na cocobeach. ukitoka salender bridge kama unaelekea mwenge kuna, just baada ya salender bridge kuna mataa yanafuata. Kwenye hayo mataa turn kulia. Nyoosha moja kwa moja mpaka ukutane na T-junction ambapo km ukikata kulia unaelekea Coco. Sasa wewe kwa hiyo T-junction endelea kinyoosha huku ukiangalia kushoto nadhani ni jengo km la nne hivi ndi hapo hapo.
Kenyatta Drive. Hii sio The Green Sports Park?iko karibu na cocobeach. ukitoka salender bridge kama unaelekea mwenge kuna, just baada ya salender bridge kuna mataa yanafuata. Kwenye hayo mataa turn kulia. Nyoosha moja kwa moja mpaka ukutane na T-junction ambapo km ukikata kulia unaelekea Coco. Sasa wewe kwa hiyo T-junction endelea kinyoosha huku ukiangalia kushoto nadhani ni jengo km la nne hivi ndi hapo hapo.
Hapana umekosea. inategemea ntu na ntu. Nawatoaga out nikiwepo. Lakini siku hii ya sikukuu nilitaka niifanye special kidogo.Tatizo mnangoja hadi sikukuu ndio mnatoka mnaenda kutembelea sehem za burudan na starehe...
Watoto na nyie watu wazima mngekua mna desturi ya kutembea angalau mara mbili kwa mwezi ingekua vzuri...
Siku hizi za sikukuu ni kwaajili ya kukaa ndani na familia kupiga stori kucheza kula na kunywa... Sio kuzurura
Hawa watu hawajui watoto wanaichukuliaje siku ya SIKUKUU.Hata kama unawatoa kila weekend sikukuu usipowatoa au kuwanunulia nguo haijakamilika.Hapana umekosea. inategemea ntu na ntu. Nawatoaga out nikiwepo. Lakini siku hii ya sikukuu nilitaka niifanye special kidogo.
true true. here hereThe green sport park.
The Green Sports Park
0692 000 030
The Green Sports Park · Kenyatta Drive, Oysterbay Dar es salaam TZ, 5175, Tansania
âââââ · Sportanlagemaps.app.goo.gl
ntaipangia next hii. thanks.
The green sport park.Picha
hahahaha haina Noma.ILA uende ile dynasty ya mwisho kabisa ndo nzuri Sana.
Na mademu wao WAKALI.
Yaani unatumia Huku unasuuza macho