Ungejibu unaishi wapi, uambiwe maeneo ya karibu...ukisema unaenda popote sasa unaomba ushauri wa nini?? Na eneo unalojua ni coco beach?? Duhpopote naenda
wakaangalie wanyama mbugani kulechato
Kama una site wapeleke hata wakang'oe ng'oe nyasi sio lazma wakachezee maji jaribu kuwafunza uzalendoEid Mubarak!
Baada ya kuwanunulia nguo za Eid sasa niwakati wa kutafuta sehemu ya kuwapeleka wanangu kutembea Leo hii siku ya Eid.
Naombeni sehemu ya kwenda maana nimechoka kila siku Coco beach tu bhana.
Asanteni
eee bhana eeeeh. hii ni ckukuu full tank lazima. Kaji Dar kenyewe kadogo... hence popote naendaUngejibu unaishi wapi, uambiwe maeneo ya karibu...ukisema unaenda popote sasa unaomba ushauri wa nini?? Na eneo unalojua ni coco beach?? Duh
FEEDBACK: Finally baada ya kuulizia huku na kule nimeenda GULAMALI'S ....STEAK HOUSE AND MULTI CUISINE
We had unforgettable moments with fam.
Asanteni Sana kwa michango yenyu.
U.S.H.A.M.B.AHivi kuna umuhimu wowote wa kwenda kuzurula kipindi hiki cha sikukuu.
SureTatizo mnangoja hadi sikukuu ndio mnatoka mnaenda kutembelea sehem za burudan na starehe...
Watoto na nyie watu wazima mngekua mna desturi ya kutembea angalau mara mbili kwa mwezi ingekua vzuri...
Siku hizi za sikukuu ni kwaajili ya kukaa ndani na familia kupiga stori kucheza kula na kunywa... Sio kuzurura
Tatizo mnangoja hadi sikukuu ndio mnatoka mnaenda kutembelea sehem za burudan na starehe...
Watoto na nyie watu wazima mngekua mna desturi ya kutembea angalau mara mbili kwa mwezi ingekua vzuri...
Siku hizi za sikukuu ni kwaajili ya kukaa ndani na familia kupiga stori kucheza kula na kunywa... Sio kuzurura
Akitaka akorofishane na wife waende naye hapoJangwani Sea and Breeze.
Akitaka akorofishane na wife waende naye hapo