Ikoko
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,101
- 3,036
Tema mate chini jombaa... Kuna mwaka nchi ilipigwa na ukame wa kufa mtu, watanzania wengi waliponea unga wa Yanga (mahindi ya njano kutoka Marekani..Umaskini mbaya sana. Hivi mtu anaweza kuniletea unga nyumbani nikakubali? Wakati nina mikono miwili. Labda kama kuna janga la ukame