Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID

Umaskini mbaya sana. Hivi mtu anaweza kuniletea unga nyumbani nikakubali? Wakati nina mikono miwili. Labda kama kuna janga la ukame
Tema mate chini jombaa... Kuna mwaka nchi ilipigwa na ukame wa kufa mtu, watanzania wengi waliponea unga wa Yanga (mahindi ya njano kutoka Marekani..
 
Soma statement yangu vizuri. Ulichoandika ndio nimesema kuwa ndio wakati wa kupokea msaada.
Wewe kwa umri wako mtu anakupa msaada wa nini! Mimi mtu kunipa msaada ni kushusha utu wangu labda kama kuna ukame au janga lingine. Zawadi naweza kupokea lakini na mimi nirudishe zawadi.
Nimekumbuka when growing up kuna jirani walikuwa wanaleta zawadi na kikapu baada ya kupokea tulikuwa hairuhusiwi kurudisha kikapu kikiwa tupu. Unafikiri ni kwa sababu gani? Likewise kwetu tulikuwa tukipeleka kitu kwa mtu lazima akirudishe na kitu.
Labda kama ni sadaka tumepeleka kwa Mzee asiyejiweza, lakini hata yeye alikuwa anatafuta chochote cha kukupa.
Sasa hiki kizazi cha leo mnapenda tu kupokea, ni tatizo. Ndio maana hatubarikiwi. Wewe unafikiri kwa nini Amerika anakupa msaada? Jiulize kabla hujapokea. Kuna baraka zinapatikana kwa kutoa na yule anayepokea anapoteza. Sorry I didn't mean to be religious
 
Kama mnapokea mpaka chandarua ya elfu 5 kelele za nini? Tembea vijijini uone wenzio, watoto hata yebo yebo za elfu 2 hawana wanaenda shuleni peku
Tunakuwa maskini kwa sababu tunapokea tu bila kutoa. Hakuna baraka inayopatikana kwa kupokea tu bila kutoa. Kidini tunasema ni heri kutoa bila kupokea. Soma maelezo yangu niliyokujibu hapo juu. Jizuie kupokea bila kutoa kwenye maisha yako
 
Soma statement yangu vizuri. Ulichoandika ndio nimesema kuwa ndio wakati wa kupokea msaada.
Wewe kwa umri wako mtu anakupa msaada wa nini! Mimi mtu kunipa msaada ni kushusha utu wangu labda kama kuna ukame au janga lingine. Zawadi naweza kupokea lakini na mimi nirudishe zawadi.
Nimekumbuka when growing up kuna jirani walikuwa wanaleta zawadi na kikapu baada ya kupokea tulikuwa hairuhusiwi kurudisha kikapu kikiwa tupu. Unafikiri ni kwa sababu gani? Likewise kwetu tulikuwa tukipeleka kitu kwa mtu lazima akirudishe na kitu.
Labda kama ni sadaka tumepeleka kwa Mzee asiyejiweza, lakini hata yeye alikuwa anatafuta chochote cha kukupa.
Sasa hiki kizazi cha leo mnapenda tu kupokea, ni tatizo. Ndio maana hatubarikiwi. Wewe unafikiri kwa nini Amerika anakupa msaada? Jiulize kabla hujapokea. Kuna baraka zinapatikana kwa kutoa na yule anayepokea anapoteza. Sorry I didn't mean to be religious
Zamani kulikuwa na utamaduni mzuri sana nashangaa kwanini umepotea. Hatuurithishi kwa watoto wetu kwanini?

Yaani kwanza ulikuwa huendi kutembea kwa jirani au ndugu bila kubeba zawadi na lazima ulikuwa unarudi na zawadi pia, yaani utachumiwa hata mchicha tu hata kama kwenu upo angalau umepata kitu
 
Nina uvivu kidogo wa ku-google wizara zipi zinahusika kwenye hili sakata la mchele. Bashe Waziri wa Kilimo ameliongela lakini anasema ishu ni ya NGO (NGO ziko chini ya wizara gani vile?) zinazohusisha mashule (wizara ya Elimu). Swali langu ni jepesi tu: Watakaopewa huo mchele wenye rutuba ni Watoto wote mpaka Wazenji au ni kwa watoto wa Bara tu?
 
Ila viongozi wa nchi hebu oneni aibu Kwa vitu vidogo vidogo kama hivyo. Najua ishu ya virutubishi hususani vitamins na minerals ni ishu kubwa Sana Kwa watanzania. Tulikuja na mkakati wa kuviongeza virutubishi hivi kwenye mafuta, unga wa ngano na mahindi ambavyo huliwa na watu wengi inamaana njia hiyo haikuwa sahihi. Jmn sisi sio wa misaada ya namna hiyo kwakweli
 
Wizara Hizi Ndiyo Zinazohusika Wazi Wazi
Wizara Ya Kilimo
Wizara Ya Mambo Ya Africa Mashariki, Kikanda Na Kimataifa
Wizara Ya Mambo Ya Ndani Ya Nchi Hawa Ndiyo Husajiri NGO Na Kuwapa Vibari
 
Uko sahihi ila kwa sasa ningependa kujua huu mchele utagawiwa pia kwa watoto wa shule za Zanzibar?
 
Wizara Hizi Ndiyo Zinazohusika Wazi Wazi
Wizara Ya Kilimo
Wizara Ya Mambo Ya Africa Mashariki, Kikanda Na Kimataifa
Wizara Ya Mambo Ya Ndani Ya Nchi Hawa Ndiyo Husajiri NGO Na Kuwapa Vibari
Asante sana sasa swali langu ni je huu mchele unahusu pia shule za Zanzibar?
 
Zanzibar Haihusiki Nakukumbusha Wakati Ule Wa Upinde Rais Wa JMT Alisema
Sasa Hawa Watoto Mkiwalegeza Nguvu Kazi Ya Taifa Itatoka Wapi?
Kaleta Ubwabwa Ili Iweje Yaani Walegezwe Tu
 
Back
Top Bottom