Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,416
Hahahaha...mwenyekiti
wenu akimaliza kipindi chake cha uongozi atarudi kwenye kazi yake ya
kutoa mbwa bandani
yaani jinsi unavyojidhalilisha! ni aibu kwa chadema kuwa na mburula kama wewe
Hahahaha...mwenyekiti
wenu akimaliza kipindi chake cha uongozi atarudi kwenye kazi yake ya
kutoa mbwa bandani
halafu mbona anaandika Ki Lema Lema sana?
semeni nani mnamlenga. au mnaogopa kujibiwa kwa hoja? maana CHADEMA wengi ni walalamikaji tu na hawana hoja hata moja
Watanzania unafiki ndo unatufanya turudi nyuma kila siku kuogopana na kulindana, mtu mkweli kama lema kwangu atabaki shujaa wa maisha yangu yote
Mkuu, naona unajitekenya mwenyewe na unajichekea. haya ndo madhara ya kunywa viroba asubuhi na mapema.
yaani jinsi unavyojidhalilisha! ni aibu kwa chadema kuwa na mburula kama wewe
Viroba na zanzi ukijaribu kutaka kuwa mjenga hoja kama MM
Hahahaha...mwenyekiti wenu akimaliza kipindi chake cha uongozi atarudi kwenye kazi yake ya kutoa mbwa bandani
Lema ni shujaa wa karne..
tunakujua dada ila bahati mbaya hakatwi mtu hapa...kwa taarifa yako bwanako lema hatumtaki kwenye cdm yetu m,,,,ako zako wewe
Inamhusu Zito? Au akili yangu nyembamba haijajua methali hii?
hayo ndio malezi uliyoyapata na wewe wakati wa kukua kwako....
Tukana tu wala usiwe na hofu na usisite kuonyesha kipaji chako
Usianzie chini anzia juu! Hampendi kuguswa wakati juu ndo kuna maamuzi.
Rose, umeandika mengi lkn unaogopa kusema unamwakilisha nani na unamlenga nani, you are too general.