STEIN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,772
- 555
Rose Mayemba Umeandika vizuri sana, I am sure message is delivered. Atakayeshindwa kukuelewa basi atakuwa haelewi tena.
Last edited by a moderator:
Rose, umeandika mengi lkn unaogopa kusema unamwakilisha nani na unamlenga nani, you are too general.
its too general i didn't get the connection between the dots kwa sababu umetumia mafumbo sana
.
Ok, mpo kwenye operation wewe na nani?! Mmetumwa na nani na kwa maslahi ya nani?
Viroba na zanzi ukijaribu kutaka kuwa mjenga hoja kama MM
atarudi kwenye kazi yake ya ujambazi
huyo dada siasa kajifunzia chuoni ruco 2011, chadema kaijulia ruco, uharakati anajifunzia ruco nashangaa na yeye anajifanya saivi ni mkongwe very funny asee
Kwa vyovyote tutakavyosema,CDM wamefanikiwa kumtoa nyoka pangonisemeni nani mnamlenga. au mnaogopa kujibiwa kwa hoja? maana CHADEMA wengi ni walalamikaji tu na hawana hoja hata moja
Kwa vyovyote tutakavyosema,CDM wamefanikiwa kumtoa nyoka pangoni
Jiulize tangu uhuru mpaka M4C uliwahi kuona wapi,kasi ya ccm kutembelea nchi kama wanavyofanya sasa?
Wananchi tulikuwa tunataka hivyo,awepo mtu atakayesema ccm ikasikia,na ktk hili CDM imefanikiwa sana.
Binafsi sishabikii upande wowote wa wanaolumbana ndani ya CDM kwani kwangu,kuanguka kwa CDM
ni kuanguka kwa Tz nzima.Hata hiyo mikoa inayojiita ngome za ccm wabunge wao tunawaona bungeni wakilalama
ni mpaka hawa wabunge mahiri wa CDM wakipigisha gwaride ndo chama tawala kinasafisha walipoonesha kuna uchafu.
WaTZ wenye mapenzi mema na nchi hii tuombe Mungu CDM izidi kuwa na nguvu,ili upinzani uwe na maana hapa nchini.
Mkuu wewe nisaidie jina CDM inaipigisha nini ccm.CHADEMA hawana usafi wala ubavu wa kuipigisha gwaride CCM!
Hivi kuna baraza la wazee chadema? hiki chama hakina wazee? maana wahuni wametamalaki kwenye hiki chama! hakuna wa kukemea!
hata sikutaka kila mt aelewe ila wachache watakaotumia mda wao kfikiri wajaribu kuling'ama hili(japo sina hakika sana na nachokisema)
nimekuelewa sasa sema ili nibidi kurudia kusoma tena na tena ndio nikaelewa unachokimaanicha[/QUOTE
hahahaaaaaaa!
sawa mkuu
Khaa!! wewe kila kitu unamuwaza Zitto tu? Huyu jamaa anaonekana jembe sana ndiyo maana anawatia joto sana. Na bado lazima mkome :doh:Inamhusu Zito? Au akili yangu nyembamba haijajua methali hii?
khaa!! Wewe kila kitu unamuwaza zitto tu? Huyu jamaa anaonekana jembe sana ndiyo maana anawatia joto sana. Na bado lazima mkome :doh:
chadema hawana usafi wala ubavu wa kuipigisha gwaride ccm!
Hivi kuna baraza la wazee chadema? hiki chama hakina wazee? maana wahuni wametamalaki kwenye hiki chama! hakuna wa kukemea!