Watasambaratishwa, watakwisha wote.....

Watasambaratishwa, watakwisha wote.....

Hivi kuna baraza la wazee chadema? hiki chama hakina wazee? maana wahuni wametamalaki kwenye hiki chama! hakuna wa kukemea!
...Kweli mkuu. hivi wazee CHADEMA mko wapi? mbona mnamuachia Lema jukumu la kukemea usaliti wa Zitto?
Ila nakumbuka ni kama Mzee Mtei alishawahi kusema muangalieni sana huyo kijana wa DOWANS msipoangalia atakivuruga chama.
 
Unajichetua mbona mimi nakufahamu una akili nzuri kabisa sas unajifanya chizi na unatumia akili nyingi kupindisha na kupinga ukweli...embu rudi kwa mstari tujenge nchi...u r wise enough kuwa upande mwema
mawazo hasi kama haya ndiyo yanayojenga makundi na mifarakano ndani ya chadema.

Kuna watu wengine kama wewe wanafikiri chadema ni yao na ndiyo nyumba yao wakiwa ndiyo baba na mama huku wale wengine wakiwa ni watu wa kuja, kujileta au kuletwa.

Hebu fikiria mtu anayedhani chadema ni yake halafu wewe wa 'kuja' umwambie kuwa anachokifanya hakifai na kiko nje ya taratibu, kanuni, itifaki na katiba. Kwanza hawezi hata kukusikiliza na ukizidisha kelele atakachofanya ni kukufukuza kwenye chama "chake" katika misingi hiyo hiyo ya uvunjifu wa taratibu, kanuni, itifaki na katiba na huwezi kupata nafasi ya rufaa wala msamaha. Rufaa na msamaha utatoka wapi wakati hukumu ni batili.

Mentality kama hizi haziwezi kukifanya chama kikawa na demokrasia pana inayowafikia wale wenye inferiority na mtazamo huu.

Chama ambacho kina misingi ya demokrasia, wanachama ndiyo wenye chama na katika wanachama hao, hakuna anayejulikana kama niwa kuja, kujileta na kuletwa kwa sababu kila mwanachama ana haki na uwezo uliosawa. Hakuna kura za veto ndani ya vyama vya demokrasia. Hakuna kura inayoyoizidi kura ya mwingine na hata maamuzi lazima yafanyike kwa kura au makubaliano ya wanachama.

Hii uliyoleta hapa ni pumba kisiasa hasa pale unaposimama kwenye majukwaa na kudai chadema ni chama cha demokrasia na maendeleo.
 
Ni bora kutibu kipele kuliko kusubiri likawa ndonda ndugu, hili utakufa nalo maana haliponagi n'goo.- Ni bora mbakie viongozi wachache wenye nia na babadiliko ya kweli, kuliko kuwa wengi wanafiki.

CDM msiogope kwa move hii safisha chama, naapa na kuwahakikishia kwamba umma wa watanzania upo nyuma yenu - nyie ndiyo tegemeo letu pekee lililobakia. Kiongozi yeyote mnafiki aondoke atuachie CHADEMA yetu.

Pamoja sana Rose - Tumekusoma.
 
ndio ujue huku kumejaa vichwa...yaani mtot mdogo huyu katoa mawazo yake umehisi ni msemaji wa chama je huyo msemaji akisema si utahisi mungu wako wewe!? huu ni msimamo na mjulikano wa pamoja huku cdm kuwa hatutaki wanafiki kama ccm mnataka wanafiki basi ni nyinyi....

Sikutegemea kuwa chama makini kingefika mahali kila mtu akawa msemaji wa chama. sijui huyu Rose ni nani huko CDM.
 
Unajichetua mbona mimi nakufahamu una akili nzuri kabisa sas unajifanya chizi na unatumia akili nyingi kupindisha na kupinga ukweli...embu rudi kwa mstari tujenge nchi...u r wise enough kuwa upande mwema

Fikiri vizuri, si kila aliyeko kinyume na CHADEMA, hana akili nzuri.
 
ndio ujue huku kumejaa vichwa...yaani mtot mdogo huyu katoa mawazo yake umehisi ni msemaji wa chama je huyo msemaji akisema si utahisi mungu wako wewe!? huu ni msimamo na mjulikano wa pamoja huku cdm kuwa hatutaki wanafiki kama ccm mnataka wanafiki basi ni nyinyi....
Kichwa eeh?!! RUCO nako kuna vichwa eeh?!!!
 
Acha ufreemasson wewe vichwa vipo chadema acha kujifanya chizi mbona nimeandika kitu rahisi sana tuu...afu pia hata ruco vichwa vipo au umekariri lazima iwe mlimani na mzumbe tuu....au akioza mmoja wote wameoza?wajinga bwana!!!!!!!

kichwa eeh?!! Ruco nako kuna vichwa eeh?!!!
 
i thought the two were inseparable. Wrong?

how many have gone to school but we see nothing in there head? What do u say about wassira, makamba, makinda, pinda ,jk etc ?

Stop those nonsences bwana....
 
Hakika na hakuna jiwe litakalo salia juu ya jibu, waasi wote lazima wasambaratishwe
 
Hakika na hakuna jiwe litakalo salia juu ya jiwe, waasi wote lazima wasambaratishwe
 
Rose, umeandika mengi lkn unaogopa kusema unamwakilisha nani na unamlenga nani, you are too general.
Nadhani anawalenga wote wanaotumikishwa na pesa chafu za wauza unga, majangiri na mafisadi wa nchi hii wanaoiogopa CHADEMA kuliko wanavyoogopa kifo
 
how many have gone to school but we see nothing in there head? What do u say about wassira, makamba, makinda, pinda ,jk etc ?

Stop those nonsences bwana....
Tatizo lako unafikiri elimu ni hayo makaratasi yako ya RUCO unayoita cheti. Unawezaje kutenganisha elimu ya mtu na kilicho kichwani mwake? That's all I wanted to know from you when I said that the two were inseparable. Badala ya kuja na majibu unakuja na matusi.
 
Kwanza hajatusi ila kakupa mifano.alafu the owner of microsoft Mr.Bill Gates dropped at Havard while in third year do you know what he did thereafter as compare to those who completed their degrees?
 
Back
Top Bottom