Watasambaratishwa, watakwisha wote.....

Watasambaratishwa, watakwisha wote.....

Hakika na hakuna jiwe litakalo salia juu ya jibu, waasi wote lazima wasambaratishwe

Hii post ni ya muda kweli...nimewakumbuka wasaliti ambao sass wameanza kutamani kurudi cdm...unions make ulimwacha afu anakuonea wivu ujue bado anaipenda ndoa take japo kila akikuona na wanawake anakuita malaya
 
hivi dada una mchumba?
 
Hii post ni ya muda kweli...nimewakumbuka wasaliti ambao sass wameanza kutamani kurudi cdm...unions make ulimwacha afu anakuonea wivu ujue bado anaipenda ndoa take japo kila akikuona na wanawake anakuita malaya

nakupongeza sana .
 
Hakika na hakuna jiwe litakalo salia juu ya jiwe, waasi wote lazima wasambaratishwe

Tupeni vigezo wasije wakaumia wasio na hatia lakini pia watuhumiwa wapewe haki yao ya msingi ya kusikilizwa kwa kuwa kama alivyosema Jaji Utamwa katika kesi ya Zitto vs Chadema,Hamuwezi kumhukumu kwanza halafu mkamsikilaza baadae,na hiyo ndiyo demokrasia,demokrasia pia ni Uhuru Wa kutofautiana mawazo hata kama unaotofautiana naao mawazo ni viongozi,vinginevyo itakuwa operesheni ya kutafuta wachawi na operesheni za namna hiyo siyo za kidemokrasia huwa zina mwisho mbaya sana Chadema kuweni makini na we ye misimamo mikali ambao hawataki kusikia mawazo yanayopingana na yao hao ndiyo wabaya kuliko mnaowatafuta
 
Back
Top Bottom