- Thread starter
- #41
😂 Asante, Wakishua Hawaelewii Hao Ndugu Yangu.Inaonyesha umekulia masaki sanaa.
Pitia mitaa ya mwananyamala na kinondoni, manzese, Tandale, kifupi uswahili ili ukajifunze chipsi za 500 zinavyouzwa.
#YNWA
#YANGA_BINGWA

Hajakwambia anataka kuuza chipsi kama Break Point makumbusho.Wewe kama umemamaliza Chuo basi akili yako bado ni ya form four...Kila mtu ana haki kutoa maoni yake , laki 5 bado ni ndogo kuweza kuibadilisha kuja kufanya aliyokwambia, kujenga na vingine
Jamaa anasema rafiki yake kamsema Kwa laki Tano hawezi kuambulia pesa ya kufanya maendeleo kama kujenga ataambulia kupata pesa ya kula tu.Inaonyesha umekulia masaki sanaa.
Pitia mitaa ya mwananyamala na kinondoni, manzese, Tandale, kifupi uswahili ili ukajifunze chipsi za 500 zinavyouzwa.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Usiweke kabati la chips la mbaokwako, ila kwangu inatosha kabisaaa.... !!!