Jana Nilikuwa Napiga Stori na Rafiki Yangu Mmoja hivii, Akaniuliza Sasa Mwanangu Umemaliza Chuo Una Mipango Gani !? Nikamwambia January Tunaenda internship Hivyo Mpaka tunamaliza Nitahakikisha Nimekusanya Laki 5 ya Mtaji wa Chips.
kusikia hivyo jamaa Aka'panic Akaanza kusema "Chips Mtaji wake million 2 na nusu mpaka 3" Akaendelea "Chips utapata Hela ya kula tuu Na Hautojenga "
Baada ya hizo kauli zake Nikakaa nikajifikiria weeh Hivii Watanzania Tuna Roho Gani !??
Ni Umasikini !? Kutopenda Kupitwaa au !??
Nikakumbuka wakati nipo Chuo watu wakiniona Nimevaa na Kupendeza Wanachukia 😅 ,
Na hata nikiwa Napiga Ngoma Nikishangiliwa na Kutunzwa Basi Wenzangu Wanachukiaa 😂,
Aiseee Jana nimeshangaa Sana Yaani Rafiki Yangu Huyuhuyu Ndo wakuniwazia Mabaya Looh !!!
Eeh Mwenyezi MUNGU Tusaidie 🙏.