Watanzania wengi hawana akili timamu, Majaliwa wanayemshangilia leo wanadhani hayuko ndani ya mfumo

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,169
Reaction score
48,681
Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Majaliwa ni kiongozi ndani ya CCM, pia lazima Watanzania wafahamu kuwa katika watu ambao hufanyiwa vetting kubwa kuliko watu wote Tanzania ni Waziri Mkuu kabla hajapitishwa na Rais.

Wengi tunasema kuwa ni rahisi Rais wa Tanzania kupatikana kwa bahati lakini Waziri Mkuu hapatikani kwa bahati.

Majaliwa hatakisaliti kiapo chake kwa Taifa hili. Ataendelea kuwa ndani ya mfumo mpaka umauti wake. Hata kama ataamua kuwachezea mchezo alioucheza Sumaye na Lowasa lakini mtambue kuwa hawatausaliti mfumo ambao nyie washangiliaji mnaupinga.
 
kwa hiyo huyu mropokaji ndiyo amefanyiwa hiyo “vetting kubwa”? isitoshe what about Lowasa, mbona aliondoka na kukampeni against ccm? …
 
Tanzania Shamba la wageni kuja kuvuna kushirikiana na hiyo system ( Matapeli watemi ).... system ni kwaajili ya kuwadhibiti Watanzania maskini tu.
 
Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Majaliwa ni kiongozi ndani ya CCM, pia lazima Watanzania wafahamu kuwa katika watu ambao hufanyiwa vetting kubwa kuliko watu wote Tanzania ni Waziri Mkuu kabla hajapitishwa na Rais.

Wengi tunasema kuwa ni rahisi Rais wa Tanzania kupatikana kwa bahati lakini Waziri Mkuu hapatikani kwa bahati.

Majaliwa hatakisaliti kiapo chake kwa Taifa hili. Ataendelea kuwa ndani ya mfumo mpaka umauti wake. Hata kama ataamua kuwachezea mchezo alioucheza Sumaye na Lowasa lakini mtambue kuwa hawatausaliti mfumo ambao nyie washangiliaji mnaupinga.
Yaelekea umeumia sana Majaliwa kushangiliwa hadi uwaone waliomshangilia kuwa ni wapumbavu. Kwani wewe umeelewa nini watu kumshangilia Majaliwa? Kwa taarifa yako waliomshangilia ni wana CCM wenzako maana kwa akili yako kisoda unafikiri ni Chadema ndiyo wamemshangila
 
wanakwambia ameamua kukaa pembeni, hili taifa tuanze kwa kukomboa fikra kwanza
 
Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Majaliwa ni kiongozi ndani ya CCM, pia lazima Watanzania wafahamu kuwa katika watu ambao hufanyiwa vetting kubwa kuliko watu wote Tanzania ni Waziri Mkuu kabla hajapitishwa na Rais.

Wengi tunasema kuwa ni rahisi Rais wa Tanzania kupatikana kwa bahati lakini Waziri Mkuu hapatikani kwa bahati.

Majaliwa hatakisaliti kiapo chake kwa Taifa hili. Ataendelea kuwa ndani ya mfumo mpaka umauti wake. Hata kama ataamua kuwachezea mchezo alioucheza Sumaye na Lowasa lakini mtambue kuwa hawatausaliti mfumo ambao nyie washangiliaji mnaupinga.
Huna akili
 
Kama.inakuuma Majaliwa kushangiliwa kufa basi
 
Samia hakufanyiwa vetting?
 
Kumshangilia kiongozi yeyote yule anayetokana na ccm ni U-hayawani uliopitiliza!
 
Tafakari kisha chukua hatua.
Mada hii nimeileta ili kuwacheka wapinzani wanaomshangilia Kasimu Majaliwa wakijifariji kuwa Majaliwa kajitenga na CCM ya mafefhuli ..

Majaliwa yupo CCM mpaka umauti wake, na kukiwa na ulazima anaweza kuwachezea mchezo ule mliochezewa na Lowasa kwakuwa akili zenu ni fupi. CCM wataeendelea kutawala Tanzania mpaka muwe na akili
 
Majaliwa alishangilia sio kwa uchama bali aliongoza awamu ya tano ambayo ilipendwa na wananchi kwa kuwajali kwa dhati, umeona miaka mitano ya kumbukizi ya kifo cha Magufuli livyoteka mitandao ? hii ina maana Magufuli alipendwa na watanzania siyo huyu Kahaba Chura anayetengenea machawa wa kumuumbia sifa..
 
Mkuu, bora kama umeandika kwa hasira na chuki? Hujapendezwa na makofi yale?

Kama Mtu yoyote anaweza kuwa Raisi, basi, Mtu yoyote anaweza kuwa waziri mkuu. Hata wewe hukutegemea kumuona Madilu akiwa PM, sivyo?
 
Back
Top Bottom