Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,536
class of...........mie nimesoma UDSM......B.Com. in Banking and Financial Services....
Sidhani kama yanihusu kivile..ila nimejikuta niko interested nayo
class of...........mie nimesoma UDSM......B.Com. in Banking and Financial Services....
Sidhani kama yanihusu kivile..ila nimejikuta niko interested nayo
yupo wapi kwa sasa? na alisomea nini?Yuko mmoja namfahamu anaitwa Andrew Mziray
Chenge alibanwa na waziri wa Nishati, akisaidiwa na waziri wa fedha, Na juu yao Raisi, wakamtumia Yeye na Idrissa kupitisha madudu yao, akashindwa kupumuasasa kama chenge ndio wale mwalimu aliowaita elimu haijawakomboa.... ndio wale waliopewa chakula chote ili wakatafute kingine vijiji vingine lakini hakurudi kwa iyo akawaua njaa wenzake!!
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...
kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
Ninao wafahamu:
Kuna lecturer mmoja pale UDSM department of Economics
Kuna classmates zangu wawili tulisoma nao O'level wanasoma hadi sasa hivi huko.
Mshua wangu kasoma huko, full kutamba home, watoto hata hatutaki shule.
Rakesh Rajan nasikia alisoma huko.
Kuna dada mmoja alikuwa hapo IST sikumbuki exactly mwaka aloingia, sahv nahisi kamaliza.
Sijataja majina coz sio sawa kutaja jina la mtu from nowhere
Nape mawio,kinana,simbachamwene, mugulo,makinda na ndugulu,afu nyie vipi kwan havard kitu gani??,ama sababu kipo ughaibuni,waliosoma huku wanatofauti gani na si tulosoma miaka ya 90+ tbr boyz,eliboru,musoma tech,mzumbe,mkwawa na zingine zilizokuwa maalum?,msiabubu vya nje anzen na ndan
Kijoa ukalale na ukitasa wako,kama hujatoka nje ya bongo ww n kitasa bhana,Nyerere mwenyew alitoka miaka hyo sasa ww wa 90 juz hapa watu ndo tunaanza andika barua kuongezewa mkataba utumishbwa umaa
Kama Chenge naye kasoma Havard, basi hakuna umuhimu wowote wa watanzania kusoma kwenye chuo hiki!!!