Professor Amund Majamba,Faculty of Law UDSM.
Justinian Rweyemamu
Hawa wawili wa chini nilikutana nao Maryland near Washington DC.
Somebody Daghar, Orijino Tanga.
Dr. Ahmed M. (B/M and PhD) zote Harvard. USA hawamwachii huyu hata kidogo yupo NSA, Orijino Dodoma.
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...
kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
Nawajua mapacha wawili wanaoitwa Sylvanus na Salvanus wamesoma Havard na kwa sasa wapo Nelson Mandela African Institution of Science and Technology- ARUSHA wakisubiri kwenda Masters hukohuko Havard. Ni vijana wadogo bado, mmoja amesoma medicine na mwingine amesoma Engineering. In addition ni watanzania wa kwanza kufika Mars
For more information about them visit http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/15168-intelligent-local-twins-visit-mars
Acha wazungu wamtumie sisi hatuoni umuhimu wake. Jamaa alipiga one ya 7 O level na A level kati ya 4 au 5!!! Mlimani alipasua vizuri tu!! Yaani ni kichwa huyu sana imagine IBM wakukubali tena ngozi nyeusi.huyu jamaa wa BOT namfaham aisee alisepa hivi hivi tunamuona
Acha wazungu wamtumie sisi hatuoni umuhimu wake. Jamaa alipiga one ya 7 O level na A level kati ya 4 au 5!!! Mlimani alipasua vizuri tu!! Yaani ni kichwa huyu sana imagine IBM wakukubali tena ngozi nyeusi.
Harvard ,YALE, MIT na Stanford....
wote mnastahili...
ingawa Harvard wana heshima yao ya pekee
ukisoma hata historia za kina Obama utaona tu wanasema 'he went to Harvard'
wengine utaona wanasema 'he went to so and so university'...
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...
kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
Acha wazungu wamtumie sisi hatuoni umuhimu wake. Jamaa alipiga one ya 7 O level na A level kati ya 4 au 5!!! Mlimani alipasua vizuri tu!! Yaani ni kichwa huyu sana imagine IBM wakukubali tena ngozi nyeusi.
hmmm...best in the world? Kwa us kwenyewe tu mwaka huu kimeshika namba mbili na hata miaka ya nyuma huwa kinapokezana na yale katika nafasi ya kwanza....
Kwa kweli ni ngumu kusema kama ndo the best ila nadhani ukisema 'one of the best' utakuwa umeukaribia ukweli.
Mwaka huu princeton imekuwa ya kwanza katika list ya us news and world report national universities rankings.
Halafu pia kuna national liberal arts college rankings ambapo zinarankiwa colleges tu, tena zile ndogo ndogo lakini zenye ubora wa hali ya juu sana.
Tatizo wabongo ni kama vile tumekariri harvard tu wakati kuna liberal arts colleges bab kubwa tena zenye endowment kubwa tu ya kuweza kushindana na na ma universities.
Na uzuri wa hizi liberal arts colleges ni kwamba teacher to student ratio ni ndogo sana. Kwa hiyo unakuta mara nyingi mwalimu anakuwa ana nafasi kubwa ya one on one na wanafunzi wake.
Mwaka huu williams college imeshika namba moja. Kwa mwaka huu, tuition and fees harvard ni $42,292 wakati williams college ni $46,600 na amherst college (ambayo imeshika namba mbili kwenye list ya colleges na ambako ndo kasoma uhuru kenyatta) ni $46,574.
Kwa hiyo elimu bora hususan undergraduate haitoki kwenye ivy leagues tu wala universities peke yake.