Watanzania walio Msumbiji wadai wana matatizo

Habari Wanajamvi::

Ujumbe unaotoka kwa binti Mtanzania Aliye Msumbiji Akifahamika kwa jina la Angel(Anna) Peter ukielekezwa Kwa Mwanahabari Maarufu (MILLARD AYO) ili aufikishe kwa Serikali ya Tanzania..

cf9545ed860f08a4218ca86d451773fe.jpg

Kama haya ni kweli na Balozi wa Tanzania Msumbiji yupo,na hajashughulikia jambo hili aangaliwe kwa jicho la tatu..

Na pia kama kuna ukweli Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje ishughulikie jambo hili haraka sana.

NB: UNCONFIRMED
Aiseee
 
Hayo aliyoongea huyu dada niya kweli, maana mimi mwenyewe nipo hapa montepuez na leo ndio tulikuwa na mkutano na mwakirishi wa balozi mchana ujumbe aliouleta amesema tumepewa siku tano yaani mwisho juma tatu, kwa aliye na nyumba, biashara aina yoyote kwa ujumla mali zinazo bebeka na zisizo bebeka ni lazima uondoke, uwe una document zilizo sawa lakini ni lazima uondoke, maana wanahitaji kuanza kuona watanzania wanaingia upya. Mwisho wa yote hajataka swali hata moja, kwa maana watu wengi waishio huku ni wafanyabiashara kwa kweli ametuacha kizungumkuti hatuelewi pa kuziacha biashara zetu.
 
Sasa wale wafanyabiashara wa pale nanyupu wataenda wapi aisee alafu tembo yupo au yuko wapi
 
Hii ni diplomasia ya wapi.????
 
Kwa namna tulivyowasaidia hawa Mozambique, jinsi Wanajeshi wetu walivyokufa kwa ajiri ya kuitetea nchi Yao, kwa namna tulivyoisaidia hiyo nchi kupata Uhuru Wao, Na kwa namna tunavyoishi Na Raia Wao vizuri hapa Tanzania tena wakiwa hawana vibari!!!

Kwa kuzingatia Watanzania waliokumbwa Na tatizo hili Ni wengi, ningekua Mimi ndo mwenye Mamlaka, ningemrudisha Balozi wa Mozambique kwao.

Haiwezekani kwa yote tuliyofanya kwao waje Wafanye unyama Kama huu kwa Watanzania, hata Kama ni kuwarudisha makwao watu wanaoishi kinyume cha Sheria, wangewarudisha kwa kutowatesa Na kuwapora Mali zao!

Kwa jinsi nilivyomsikiliza Mh. Waziri jana, Watanzania wale watarudishwa Na kuacha kila walichochuma Mozambique!
Ndiyo Maana Watu Kama Mimi hatuna Sifa Ya Kuwa Viongozi,Yaani Watu wana vibali halali,mnawatesa,mnawapora mali zao na kuwaambia warudi kwao kuanza upya..

Wakati huo bila Tanzania wasingekuwa hapo walipo na kujiona..

Mi Africa Ndivyo Tulivyo.[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Inaweza kuwa ni kweli ila huyu binti amewezaje kuwa na simu huko porini, kaweka mawasiliano kwa maana ya kuonesha ataendelea kutumia simu, simu yake inatumia solar kucharge? Wahusika angalieni namna ya kusaidia hii kitu!
Usihoji ujinga weww, hii isue ni serious ndugu zetu wanaumia huko, hadi ITV wamerusha hyo habari
 
Mambo haya hujibiwa kwa kuwashughulikia wenzao wanaoishi upande wa pili.
Ukipigwa kofi unarudisha kofi na ngumi, mchokozi ananywea. Maneno matupu hayavunji mfupa.
 
Hili suala linasikitisha sana. Siku tano kuondoka nchi ambayo umewekeza na una mali zako ni zaidi ya ukatili. Serikali yetu inasemaje kuhusu hili suala kuhusu hawa ndugu zetu wanaoishi na kufanya shughuli zao huko!?
 
Mambo haya hujibiwa kwa kuwashughulikia wenzao wanaoishi upande wa pili.
Ukipigwa kofi unarudisha kofi na ngumi, mchokozi ananywea. Maneno matupu hayavunji mfupa.
Baada ya kuona hii issue kwenye taarifa ya habari nilipata wazo Kama lako mkuu.
 
Serikali imesha chukua hatua gani adi sasa jamani?
 
Mm niko MSUMBIJI vile vile kwa anaeilewa Mozambique hii ni kama kawaida yao huwa wanafanya kila baada ya miaka kadhaa na sio tu kwa WATANZANIA ni kwa wageni wote na huwa inafanyika hivi kila mkoa Kwa wakati wake.

Ila hili la kubakwa ni geni siwezi kukataa au kusibitisha
Na hii kamata kamata huwa inawalenga wale wasio na vitambulisho
Mm niko Nampula msako upo kwa wageni wote kwa huku Mwenye vitambulisho halali yupo salama tu
 
Ila hii ishu serikali ya Tanzania inaelewa jambo haiwezekani mpaka mjumbe wa Balozi wa Tanzania aongee maneno kama hayo
 
Inasikitisha sana,ila laazima kuna mkono wa mreno,hata wale vibaraka RENAMO ulikuwa mkono wa makaburu.MAHIGA TASNIA YAKO SASA.
 
Mambo haya hujibiwa kwa kuwashughulikia wenzao wanaoishi upande wa pili.
Ukipigwa kofi unarudisha kofi na ngumi, mchokozi ananywea. Maneno matupu hayavunji mfupa.
Sio kwa Tanzania Mkuu! Watanzania ni Binadamu adimu Duniani!
 
Mm niko MSUMBIJI vile vile kwa anaeilewa Mozambique hii ni kama kawaida yao huwa wanafanya kila baada ya miaka kadhaa na sio tu kwa WATANZANIA ni kwa wageni wote na huwa inafanyika hivi kila mkoa Kwa wakati wake.

Ila hili la kubakwa ni geni siwezi kukataa au kusibitisha
Na hii kamata kamata huwa inawalenga wale wasio na vitambulisho
Mm niko Nampula msako upo kwa wageni wote kwa huku Mwenye vitambulisho halali yupo salama tu
Mkuu nampula nako wameingia??ila hii ya muntipuez ni wivu tu hawa jamaa wananjaa xana wanaona wageni wanawazid parefu wkt wao hawataki kujituma ni pombe na kufanya matuc hawa mbwa roho inaniuma xna ndugu ztu wanateseka jmn hsa mabinti mana moza ke wa tz anathamani xna kuringanisha na matafaifa mengne,hvyo polic wanaitumia hii chanc kuwafanyia unyama [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Sasa wale wafanyabiashara wa pale nanyupu wataenda wapi aisee alafu tembo yupo au yuko wapi
Yaani nawaza kwa sauti wanijeria,wasenegal,wamali nawtz wnztu cjui watafanyaje maskini!! Wtu walijpanga xna muntipuez,na hii operation imelenga hko tu coz ndo penye hela moza nzima kwngne ni danganya toto tu wamebinafsisha migod yte hyo ni mbinu ya kuwafukuza tuu wachimbaji wdogowdogo so sad [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Back
Top Bottom