Watanzania walio Msumbiji wadai wana matatizo

Watanzania walio Msumbiji wadai wana matatizo

Its so Sad! Watu wamehangaika kutafuta pesa Leo Wanaporwa Nyumba, Magari mpaka wengine kuchomwa Moto!

Yanayotokea Mozambique yalishatokea Malawi, Zambia, South Africa kwa Watanzania Na raia wengine!

Lakini haya yote huwezi kuona yakitokea Tanzania.
Inauma sana mkuu... Binafsi wewe mtazamo wako ni upi kwenye hili?

Na nini kifanyike?
 
Inauma sana mkuu... Binafsi wewe mtazamo wako ni upi kwenye hili?

Na nini kifanyike?
Kwani kuwachoma wazambia walioko humu ni shilingi ngapi[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]

Mungu wangu hati kuwabaka wanaume na wanawke??

Hafu

Sio tuko bize na kesi za akina manji na kesi za chadema??

Waziri toa kauli basi wenzetu wanateska asee
 
Inaweza kuwa ni kweli ila huyu binti amewezaje kuwa na simu huko porini, kaweka mawasiliano kwa maana ya kuonesha ataendelea kutumia simu, simu yake inatumia solar kucharge? Wahusika angalieni namna ya kusaidia hii kitu!
Maswali ya kitoto
 
Mr nanyupu acha ujinga asemacho huyo dada sio ambush hiyo huo ni unyama wanafanyiwa raia wageni wote huko cabo del gado hasa hasa wilaya ya montepuez yaani kwa sasa kumenuka hali ni mbaya kuliko unavyo fikiria wewe msako ni nyumba kwa nyumba ukikamatwa unanyanganywa kila kitu na unapandishwa kwenye gari na kisha pasport yako inachanwa na kurudishwa kwenu kibabe yote hayo ni kweri hakuna uongo hata mmoja

Ndugu, kwa kiasi namuunga mkono nanyupu , ki ukweli alimia kubwa ya wabingo waliokuwa Montepuez hawana vibari na wameingizwa kwa nguvu za Askari wa Kimozambique
Iko hivi, hayo maeneo ni maeneo ya madini na ni leseni kubwa za Madini Prospecting Lisences za Gemstones, kuna Askari huwa wanayalinda hayo maeneo ya wawekezaji, sasa wabongo wanatoka bongo na wakifika huko wanawapa Askari wa huo fedha kidogo na wanawaruhusu (SIO KIHALALI) kwenda kuchimba gemstones, sasa inapotokea shida kuwa mwenye eneo analalamika serikalini ndio huwa inaanzishwa hiyo Ambush, shida moja ya Askari wa Mozambique, hata hakiwa kachukua fedha yako anakugeuka kama hakujui na anaweza kukuua muda wowote,
So Mwenye eneo alilalamika Serikalini na ndio msako wa kuwakamata wanaochimba na wanaofanya kazi zingine na biashara mbalimbali kwenye hayo maeneo ya eneo la mwekezaji wakaanza kutimuliwa

Kuna Watanzania wengi sana Kule Niasa ukipitia Mbinga na wanaendelea na kazi kama kawaida na wana Documento vizuri tu, kule Niasa maeneo ya madini (Gold) ni ya locals wana vitalu vidogo vidogo (Primary prospecting lisence) hivyo wameruhusiwa kuwaleta Watanzania kuwafanyia hizo kazi za uchimbaji na wanapewa vibali vya kufanya kazi

Shida ya watanzania wa Montepuez ni kuwa wengi hawana vibali na pia ile hali ya kuingia kwenye maeneo ya watu bila ruhusa
 
Habari Wanajamvi::

Ujumbe unaotoka kwa binti Mtanzania Aliye Msumbiji Akifahamika kwa jina la Angel(Anna) Peter ukielekezwa Kwa Mwanahabari Maarufu (MILLARD AYO) ili aufikishe kwa Serikali ya Tanzania..

cf9545ed860f08a4218ca86d451773fe.jpg

Kama haya ni kweli na Balozi wa Tanzania Msumbiji yupo,na hajashughulikia jambo hili aangaliwe kwa jicho la tatu..

Na pia kama kuna ukweli Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje ishughulikie jambo hili haraka sana.

KUTOKA KWA MCHANGIAJI( #63 )::-

"Hayo aliyoongea huyu dada niya kweli, maana mimi mwenyewe nipo hapa montepuez na leo ndio tulikuwa na mkutano na mwakirishi wa balozi mchana ujumbe aliouleta amesema tumepewa siku tano yaani mwisho juma tatu, kwa aliye na nyumba, biashara aina yoyote kwa ujumla mali zinazo bebeka na zisizo bebeka ni lazima uondoke, uwe una document zilizo sawa lakini ni lazima uondoke, maana wanahitaji kuanza kuona watanzania wanaingia upya. Mwisho wa yote hajataka swali hata moja, kwa maana watu wengi waishio huku ni wafanyabiashara kwa kweli ametuacha kizungumkuti hatuelewi pa kuziacha biashara zetu."..

JE NA SISI TUWAFUKUZE WAANZE KUINGIA UPYA.?
hii kitu kuna jamaa yangu alikuwa anatoka dar anaenda sauzi akaniambia yaani kuna wanajeshi ambao nadhani wanapingana na serikali hawawataki watanzania na hii ilikuwa kama mwezi wa 12 2016.akasema jamaa wakijua ni mtanzania wanaweza wakakuua au ukaambiwa rudi ulipotoka na passport wanachana
sikujali sana maana niliona ni kawaida kwa wasafiri kupata matatizo lakini nilivyoona hii nadhani kuna jambo kubwa sana na serikali lazima ifuatilie haiwezekani uwe na kibali alafu baado upate usumbufu
 
Habari Wanajamvi::

Ujumbe unaotoka kwa binti Mtanzania Aliye Msumbiji Akifahamika kwa jina la Angel(Anna) Peter ukielekezwa Kwa Mwanahabari Maarufu (MILLARD AYO) ili aufikishe kwa Serikali ya Tanzania..

cf9545ed860f08a4218ca86d451773fe.jpg

Kama haya ni kweli na Balozi wa Tanzania Msumbiji yupo,na hajashughulikia jambo hili aangaliwe kwa jicho la tatu..

Na pia kama kuna ukweli Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje ishughulikie jambo hili haraka sana.

KUTOKA KWA MCHANGIAJI( #63 )::-

"Hayo aliyoongea huyu dada niya kweli, maana mimi mwenyewe nipo hapa montepuez na leo ndio tulikuwa na mkutano na mwakirishi wa balozi mchana ujumbe aliouleta amesema tumepewa siku tano yaani mwisho juma tatu, kwa aliye na nyumba, biashara aina yoyote kwa ujumla mali zinazo bebeka na zisizo bebeka ni lazima uondoke, uwe una document zilizo sawa lakini ni lazima uondoke, maana wanahitaji kuanza kuona watanzania wanaingia upya. Mwisho wa yote hajataka swali hata moja, kwa maana watu wengi waishio huku ni wafanyabiashara kwa kweli ametuacha kizungumkuti hatuelewi pa kuziacha biashara zetu."..

JE NA SISI TUWAFUKUZE WAANZE KUINGIA UPYA.?
Mmh huyu mwakilishi wa balozi anajua majukumu yake kweli?na nini maana ya kuwa balozi na ishu nzima ya diplomasia?
 
Inaweza kuwa ni kweli ila huyu binti amewezaje kuwa na simu huko porini, kaweka mawasiliano kwa maana ya kuonesha ataendelea kutumia simu, simu yake inatumia solar kucharge? Wahusika angalieni namna ya kusaidia hii kitu!
Haki ya nani we TOMASO.
 
Back
Top Bottom