Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 24,812
- 44,611
Na hawa watu kama wameanza hivyo tena sio vizur wajue had jeshi lao linafundishwa na makomando kutoka tanzaniaDuuuu kweli nchi yangu Tanzania ni mahali salama pa kuishi over hakuna uongozi sasa nini maana ya ujirani mwema na sisi tukiamua kuwatimua wamakonde wa huko itakuwaje watu wa ajabu sana hawa
Wakizingua mabeyo atume wanaume kule wakafanye mambo huu ni zaid ya uchiro haiwezekan mtu kahiyari mwenyewe arudi then umushushe kwenye gali