msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,766
- 5,902
Habari Wanajamvi::
Ujumbe unaotoka kwa binti Mtanzania Aliye Msumbiji Akifahamika kwa jina la Angel(Anna) Peter ukielekezwa Kwa Mwanahabari Maarufu (MILLARD AYO) ili aufikishe kwa Serikali ya Tanzania..
Kama haya ni kweli na Balozi wa Tanzania Msumbiji yupo,na hajashughulikia jambo hili aangaliwe kwa jicho la tatu..
Na pia kama kuna ukweli Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje ishughulikie jambo hili haraka sana.
KUTOKA KWA MCHANGIAJI( #63 )::-
"Hayo aliyoongea huyu dada niya kweli, maana mimi mwenyewe nipo hapa montepuez na leo ndio tulikuwa na mkutano na mwakirishi wa balozi mchana ujumbe aliouleta amesema tumepewa siku tano yaani mwisho juma tatu, kwa aliye na nyumba, biashara aina yoyote kwa ujumla mali zinazo bebeka na zisizo bebeka ni lazima uondoke, uwe una document zilizo sawa lakini ni lazima uondoke, maana wanahitaji kuanza kuona watanzania wanaingia upya. Mwisho wa yote hajataka swali hata moja, kwa maana watu wengi waishio huku ni wafanyabiashara kwa kweli ametuacha kizungumkuti hatuelewi pa kuziacha biashara zetu."..
JE NA SISI TUWAFUKUZE WAANZE KUINGIA UPYA.?