Watanzania walio Msumbiji wadai wana matatizo

Watanzania walio Msumbiji wadai wana matatizo

Wizara ya mambo ya nje ya Tanzania inatakiwa ijirekebishe namna inavyoshughulikia matatizo ya wananchi wake.

Miaka ya nyuma kidogo nilikuwa nasoma nchi jirani. Kukatokea vurugu chuoni polisi wa kutuliza ghasia wa nchi hiyo waliingilia watu hadi vyumbani (hostel) kujeruhi na kubaka wanafunzi ambapo waathirika wengi walikuwa wasudani na watanzania.

Baada ya tukio tukaenda ubalozini tukijua tutasaidiwa hasa ukizingatia watu waliokuwa wanagoma ni wenyeji na sisi tulivamiwa vyumbani kwetu mbali kabisa na chuoni vurugu ilipotokea.Tulitegea basi balozi wetu atoe walau kauli ya kulaani kitendo hicho.
Lakini cha ajabu balozi ndio kwanza akaamza kutupiga mkwala na kutuona kama wakosaji badala ya kufuatilia na kuwasaidia waliojeruhiwa na kubakwa kupata matibabu.

Lakini kwa wenzetu wa Sudan hali ilikuwa tofaiti. Balozi wao alileta noma na raia wake walitibiwa bure na serikali ya nchi hiyo tulipofanyiwa vurugu.
 
Tatizo Wanasiasa Waliochoka Ndio Wanafanywa Mabalozi
 
Kuna washikaji wangu wako mkoa tete lakin hawapatikan sielewi hata ni kwa nini
 
Kuna taarifa tangu jana zilikuwa zikisambaa katika mitandao ya kijamii, kuhusu watanzania waishio Msumbiji wamekamatwa na serikali ya huko na kuuwawa!ikiwa ni pamoja kuwekwa jela kwa kilichoelezwa kuwa waondoke Msumbiji sikwao!! na hata kama ulikuwa na karatasi halali za kuishi huko na kufanya kazi wametiwa ndani pia ,na hawakuwa na mda wakusoma dokment za mtu yoyote!! hata pasi za kusafiria zimechomwa!! hadi jana watu walikuwa hawatoki ndani!!!Inasadikika watu 4 walipoteza uhai!.Na hilo katika kipindi cha PowerBreakfast cha Clouds amesikika mtu akiojiwa na Clouds kuhusu hali ya huko na alikuwa akiomba msaada.
Hivyo tunaomba serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje ichunguze hizi tuhuma.
Hii haina rofauti na ile iliyotokea south Africa kipindi flani waafrika tunashida mahali unamchukia mweusi mwwnzako badala ya mweupe aliyekunyonya miaka yote ya ukoloni
 
Yaani imeniumaaa.....mijitu ya nchi za South yote ni mivivuu, Kazi kulewa na kuti..ana tu, Kazi haitaki...

Mgeni ukifanikiwa roho mbaya na chuki
 
Kuna jambo linajulikana miaka yote, kwanza Pemba na Cabo del gado wakati mwingine hutumia mpaka fedha za kitanzania kama fedha halali za huko. Hao watu wa huko huona chuki kwa fedha hizo kutumika kwani mtanzania anakuwa na faida (Advantage) ya kufanya biashara na kuwa na uwe wa kuzihamishia fedha hizo Tanzania bila ya kupata usumbufu wa kubadili hela. Kifupi watanzania huonekana kama vile wanafanikiwa kwa kutumia mgogo wa watu wa Msumbiji.
 
Roho inaniuma ila serikali iangalie kwa jicho la tatu au kuna kitu tumewaudhi huku kwetu wanalipiza kisasi siamini kama hizo ni roho za kibinadam nahisi kama shetani ana mkono wake hapo!
 
Tuwafukuze basi na hawa raia wa Msumbiji wanaoishi Tanzania. Wako wengi na wanakuja bila pasi wala viza. Tumewabeba toka enzi za kupigania uhuru wao lakini leo wametugeuka. Tenda wema nenda zako!
 
Huyo dada atakuwa ni mgeni kwa huo mkoa wa pemba au caboligado hiyo ni ambush ya kawaida sana na ambushi kama hizo hutokea mara kwa mara sana kwenye huo mkoa kwahiyo atulie kila inchi inasheria zake.

Kama vp arudi home tz ili asibakwe

Najua huyo dada atakuwa montepez kijiji cha nanyupu kama id yangu hapo juu
we utakuwa chizi au ushawai kuingiliwa.amesema anataka kuludi ila ata wakikutwa kwenye magali wanashushwa na mipaka imefungwa uwe unasoma na kuelewa zuzu wee.. usisiem kila sehemm??!!
 
Roho inaniuma ila serikali iangalie kwa jicho la tatu au kuna kitu tumewaudhi huku kwetu wanalipiza kisasi siamini kama hizo ni roho za kibinadam nahisi kama shetani ana mkono wake hapo!
Naona unabwabwaja pasipo kuelewa
 
Mkuu nampula nako wameingia??ila hii ya muntipuez ni wivu tu hawa jamaa wananjaa xana wanaona wageni wanawazid parefu wkt wao hawataki kujituma ni pombe na kufanya matuc hawa mbwa roho inaniuma xna ndugu ztu wanateseka jmn hsa mabinti mana moza ke wa tz anathamani xna kuringanisha na matafaifa mengne,hvyo polic wanaitumia hii chanc kuwafanyia unyama [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Hii tabia ya Polisi wa MSUMBIJI kuwanyanyasa raia wa kigeni si ngeni
Ila kwa sasa wamekuwa wana deal sana na wageni wanaoishi montipuez sababu nimeongea na jamaa yangu yuko Pemba cabo del gado amenambia wao wako salama tu hata hao wanaotoka montipuez wanakimbilia huko Pemba
Kikubwa ni kwamba hawatakiwi wageni sehemu zenye migodi ya rubi
 
Mkuu nampula nako wameingia??ila hii ya muntipuez ni wivu tu hawa jamaa wananjaa xana wanaona wageni wanawazid parefu wkt wao hawataki kujituma ni pombe na kufanya matuc hawa mbwa roho inaniuma xna ndugu ztu wanateseka jmn hsa mabinti mana moza ke wa tz anathamani xna kuringanisha na matafaifa mengne,hvyo polic wanaitumia hii chanc kuwafanyia unyama [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]

Mkuu kiheshimu Kiswahili.Unaelezea vitu vya maana lakini sifahamu
Xna
mana
Moza
Jmn
Hsa
Matuc
Chanc
Samahani kama nimekukwaza
 
usikute mtu akatangaza hapo "waache wafie hukohuko, walienda kufanya nini", hapo ndipo utajua watu walivyo makatili. hata familia zao sijui huwa wanaishije, watakuwa wanapata shida sana kuishi na watu wa aina hiyo.
Lazima kashasema hivyo
 
we utakuwa chizi au ushawai kuingiliwa.amesema anataka kuludi ila ata wakikutwa kwenye magali wanashushwa na mipaka imefungwa uwe unasoma na kuelewa zuzu wee.. usisiem kila sehemm??!!
Mipaka haijafungwa watu wanapita kama kawaida ila ukaguzi ndio umezidishwa
Hawatakiwi wageni sehemu za migodini mbona sehemu zilizo jirani n hapo hali iko shwari?
 
Kila nchi na sheria zao

tusijisahau tukumbuke tulichowafanyia jirani zetu kule kigoma
 
Back
Top Bottom