Candyscorpion
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 769
- 790
Yap nimekusoma mkuu ni kwli hii ishu imelenga sehemu zenye madini,kunataarifa wilaya ya ancuabe pia kuna ambush coz nako hawatakiwi hii ishu cio ya moza nzima ni baadhi ya maeneo yenye madini tu!!!Hii tabia ya Polisi wa MSUMBIJI kuwanyanyasa raia wa kigeni si ngeni
Ila kwa sasa wamekuwa wana deal sana na wageni wanaoishi montipuez sababu nimeongea na jamaa yangu yuko Pemba cabo del gado amenambia wao wako salama tu hata hao wanaotoka montipuez wanakimbilia huko Pemba
Kikubwa ni kwamba hawatakiwi wageni sehemu zenye migodi ya rubi