Watanzania walio Msumbiji wadai wana matatizo

Watanzania walio Msumbiji wadai wana matatizo

Hapo ndo unapoona utofauti wa Watanzania na raia wa nchi nyingine kwa kila nyanja!
 
Kwahiyo ni vita bas kama ni vita inabidi tumushawishi mabeyo atume jeshi la kutosha huko

kwahiyo saiv hata kama ukitaka kukimbilia nampula unashushwa

Sasa wewe mbona walikuacha kaka ulitumia akili gan au na wewe umerudishwa

Mpaka sasa mimi nipo maputo nakwenda zangu namibia maana huko ni noma sababu ni kubwa ni mr Rubi huyo ndiyo sababu na sasa hivi wamepewa siku tano tu sasa kwa mwenye akiri kweri kumpa mtu siku tano si nikumkomoa watu wengine wamewekeza huku wana maduka wana mashine za kusaga nafaka sasa kwa upande wa magari hao wamelia walikuwa wakikuta na gari wanachukua kila kitu wanakushusha gari unaiyona kwa macho tu inapepea sasa huo si unyanganyi kweri
 
Wana vibali vya kuishi huko?kama hawana kosa la kwanza ni lao japo kuwafanyia hivyo si sawa wala utu,zamani nilikuwa nikisikia wamakonde wanakula watu sasa naanza kuamini kwa ukatili huu wanaweza kufanya hivyo!
Mara nyingi wabongo wanaingia nchi za watu na kuanza kujishughulisha pasipo kufuata taratibu,
1. Mtu anavuka mpaka bila pasi ya kusafiria.
2. wanaanza kufa biashara ama kazi tofauttofauti bila vibali.
3. Wanaoana bila taratibu kufuatwa (za kisheria)
4.wawapo huko hawatoi taarifa kwa ubalozi wa Tanzania(Au ubalozi wa uingereza kama tanzania haina ofisi za ubarozi) huko waliko ili kurahisisha kufikiwa maafa yanapojiri.
5. Hawajui haki zao wawapo nje na hawajui jinsi ya kuzidai.

Hata ivyo pamoja na mapungufu mengi ambayo tunakuwa nayo aidha kwa kujua au kwa kutokujua, bado haihalalishi kupokea dhuruma hizo zote zinazokiuka Haki za binadamu, kwani nasi pia tunao wageni wengi tu waishio kinyume cha sheria humu mwetu.

Ushauri wangu ni kwamba tutokapo Nje ya kwetu tutimize taratibu zote za kisheria za nchi husika (kwanza sio gharama kubwa) pia tukumbuke kutoa taarifa kwa ubarozi wetu ktk nchi husika hata kama unakaa muda mfupi.
Mr nanyupu acha ujinga asemacho huyo dada sio ambush hiyo huo ni unyama wanafanyiwa raia wageni wote huko cabo del gado hasa hasa wilaya ya montepuez yaani kwa sasa kumenuka hali ni mbaya kuliko unavyo fikiria wewe msako ni nyumba kwa nyumba ukikamatwa unanyanganywa kila kitu na unapandishwa kwenye gari na kisha pasport yako inachanwa na kurudishwa kwenu kibabe yote hayo ni kweri hakuna uongo hata mmoja
 
Mh kazi ipo kwa kweli.Hawa ndugu zetu vipi tena?Wameshasahau?
usikute mtu akatangaza hapo "waache wafie hukohuko, walienda kufanya nini", hapo ndipo utajua watu walivyo makatili. hata familia zao sijui huwa wanaishije, watakuwa wanapata shida sana kuishi na watu wa aina hiyo.
 
  • Thanks
Reactions: 999
Kwa namna tulivyowasaidia hawa Mozambique, jinsi Wanajeshi wetu walivyokufa kwa ajiri ya kuitetea nchi Yao, kwa namna tulivyoisaidia hiyo nchi kupata Uhuru Wao, Na kwa namna tunavyoishi Na Raia Wao vizuri hapa Tanzania tena wakiwa hawana vibari!!!

Kwa kuzingatia Watanzania waliokumbwa Na tatizo hili Ni wengi, ningekua Mimi ndo mwenye Mamlaka, ningemrudisha Balozi wa Mozambique kwao.

Haiwezekani kwa yote tuliyofanya kwao waje Wafanye unyama Kama huu kwa Watanzania, hata Kama ni kuwarudisha makwao watu wanaoishi kinyume cha Sheria, wangewarudisha kwa kutowatesa Na kuwapora Mali zao!

Kwa jinsi nilivyomsikiliza Mh. Waziri jana, Watanzania wale watarudishwa Na kuacha kila walichochuma Mozambique!

Sasa kama waziri kasema hayo wenye nchi yao wafanyeje hapo kwa mwenye busara anajua kabisa wameruhusiwa kutunyoosha
 
Mara nyingi wabongo wanaingia nchi za watu na kuanza kujishughulisha pasipo kufuata taratibu,
1. Mtu anavuka mpaka bila pasi ya kusafiria.
2. wanaanza kufa biashara ama kazi tofauttofauti bila vibali.
3. Wanaoana bila taratibu kufuatwa (za kisheria)
4.wawapo huko hawatoi taarifa kwa ubalozi wa Tanzania(Au ubalozi wa uingereza kama tanzania haina ofisi za ubarozi) huko waliko ili kurahisisha kufikiwa maafa yanapojiri.
5. Hawajui haki zao wawapo nje na hawajui jinsi ya kuzidai.

Hata ivyo pamoja na mapungufu mengi ambayo tunakuwa nayo aidha kwa kujua au kwa kutokujua, bado haihalalishi kupokea dhuruma hizo zote zinazokiuka Haki za binadamu, kwani nasi pia tunao wageni wengi tu waishio kinyume cha sheria humu mwetu.

Ushauri wangu ni kwamba tutokapo Nje ya kwetu tutimize taratibu zote za kisheria za nchi husika (kwanza sio gharama kubwa) pia tukumbuke kutoa taarifa kwa ubarozi wetu ktk nchi husika hata kama unakaa muda mfupi.

Hata kama taratibu umefuata kwa hili hakuna mjadala ni kutwanga maji kwenye kinu
 
Habari Wanajamvi::

Ujumbe unaotoka kwa binti Mtanzania Aliye Msumbiji Akifahamika kwa jina la Angel(Anna) Peter ukielekezwa Kwa Mwanahabari Maarufu (MILLARD AYO) ili aufikishe kwa Serikali ya Tanzania..

cf9545ed860f08a4218ca86d451773fe.jpg

Kama haya ni kweli na Balozi wa Tanzania Msumbiji yupo,na hajashughulikia jambo hili aangaliwe kwa jicho la tatu..

Na pia kama kuna ukweli Serikali kupitia wizara ya mambo ya nje ishughulikie jambo hili haraka sana.

NB: UNCONFIRMED
Kwanza niseme kitu iyo habari IPO lkn IPO wilaya ya montepuez mkoa WA cabo delegado.pili Boda Boda hazijafungwa ila bars bara kuu ya kuelekea wilaya ile ndio kuna get I za police nyingi kuliko kawaida.tatu balozi tayari kafika na Jana Pemba na kuonana na uongozi WA serekali na baadhi ya watanzania waliopo pale na Leo kaelekea montepuez kulikotokea I'll tatizo.suala LA kubakwa sina uhakika kama limefanyika lkn inawezekana.jengine kuna suala ya kunyanganywa magari na Mali ilo no kweli lipo na limetokea.ingawa Havana WA mkoa WA cabo delegado(Pemba)kasema Jana kafika kikao na kaimu balozi watu kuwa gari walizochukua ni gari za wizi hilo si kweli.nitakupeni taarifa baada ya kikao cha Leo kule .
 
Its so Sad! Watu wamehangaika kutafuta pesa Leo Wanaporwa Nyumba, Magari mpaka wengine kuchomwa Moto!

Yanayotokea Mozambique yalishatokea Malawi, Zambia, South Africa kwa Watanzania Na raia wengine!

Lakini haya yote huwezi kuona yakitokea Tanzania.
 
Hawa jamaa wamefika mbali wanatutafuta sana kwanin wasionjeshwe kidogo....
 
Inaweza kuwa ni kweli ila huyu binti amewezaje kuwa na simu huko porini, kaweka mawasiliano kwa maana ya kuonesha ataendelea kutumia simu, simu yake inatumia solar kucharge? Wahusika angalieni namna ya kusaidia hii kitu!
Tujaribu kutumia ubongo wakati tunachangia. Unajua alikimbilia huko poroni lini? Unajua ana simu ya aina gani? Unajua alibeba simu ngapi? Unajua yuko porini kwa maana ya porini au vimji vidogo vilivyo porini?
 
Kama unaishi kwenye nchi ya watu kinyume na taratibu ukitimuliwa inakuwa nongwa ?

Fuateni taratibu za nchi za watu mtaishi kwa amani
 
Kwa nini ametumia Facebook? Ni heri angepost kwenye ukurasa wa Wizara ya mambo ya ndani au ukurusa wa Uhamiaja.
 
Huko Kusini pa kwenda ni Namibia tu ambalo Mtanzania ukitokeza unapokelewa na jina la "Nyerere! Nyerere!" sio kwingine.
Namibia[emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji818]
 
Wana vibali vya kuishi huko?kama hawana kosa la kwanza ni lao japo kuwafanyia hivyo si sawa wala utu,zamani nilikuwa nikisikia wamakonde wanakula watu sasa naanza kuamini kwa ukatili huu wanaweza kufanya hivyo!
Police wanaofanya hivyo sio wa kimakonde wewe ni police wa kimachangani hawapenda watanzania tangu Kitambo sana.
 
Kama unaishi kwenye nchi ya watu kinyume na taratibu ukitimuliwa inakuwa nongwa ?

Fuateni taratibu za nchi za watu mtaishi kwa amani
Wewe huwajuwi police wa wamozambique unaweza ukawa na passport na wakachukua wakaichana hapo hapo
 
Mpaka sasa mimi nipo maputo nakwenda zangu namibia maana huko ni noma sababu ni kubwa ni mr Rubi huyo ndiyo sababu na sasa hivi wamepewa siku tano tu sasa kwa mwenye akiri kweri kumpa mtu siku tano si nikumkomoa watu wengine wamewekeza huku wana maduka wana mashine za kusaga nafaka sasa kwa upande wa magari hao wamelia walikuwa wakikuta na gari wanachukua kila kitu wanakushusha gari unaiyona kwa macho tu inapepea sasa huo si unyanganyi kweri
Tembo yupo yule msukuma tajiri
 
Its so Sad! Watu wamehangaika kutafuta pesa Leo Wanaporwa Nyumba, Magari mpaka wengine kuchomwa Moto!

Yanayotokea Mozambique yalishatokea Malawi, Zambia, South Africa kwa Watanzania Na raia wengine!

Lakini haya yote huwezi kuona yakitokea Tanzania.
Tena bora south walikua wanafanya raia lakin mozambique wanaofanya yote haya ni police wakishirikiana na selikali yao
 
Hata kama taratibu umefuata kwa hili hakuna mjadala ni kutwanga maji kwenye kinu
Ndio lkn mm nimeongelea kwa ujumla, kuhusu Msumbiji kwa sehemu nimekuwa shuhuda wa yanayotendeka kule japo sijawahi kwenda...
2015 july, Nimewahi kumtibu Mtanzania aliyekuwa amevunjika Taya la chini na mikono yote mwili, yeye mwenyewe akihadithia kılichomsibu.. alikwenda kule kama mchimbaji mdogo wa madini(lkn kinyume cha sheria kwani hajawahi kuwa na pasport) walikamatwa na polisi yeye na mwenzie wakafikisha pahala ambapo walikuwepo wahanga wengine walipigwa sambamba na mateso makali.
Yeye kwa kuogopa mateso waliyokuwa wengine wanapewa aliamua kuchomoka mbio Tarajio ilikuwa apegwe risasi afe kuliko kuteswa namna ile lkn walimkimbiza balaa baadaye alijitupia shimoni ili Afe kwa kujibamiza lkn hakufa bali kuvunjika mikono yote miwili na Taya. Polisi walimtoa na kumpeleka kituo cha Afya wakiwa huko watanzania waliokuwa huko walimtorosha kwakuwa hata hivyo hakuwa akipata huduma za kuridhisha...

Vipo visa vingi kama hivyo, baadhi hubaatika kufika ktk hospitali zetu za pembezoni Newala, Mkomaindo (Masasi), na Ligula (mtwara). Lkn pia wanaofia huko ni wengi, ususani wachimbaji wadogowadogo(kwa mijibu wa simulizi za manisura)kwani hufukiwa machimoni humohumo wanamochimba wangali hai kwa amri ya Mmiliki wa machimbo (mwekezaji mzingu)
 
Back
Top Bottom