V Kweli Tupu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 951
- 533
Kwa akili yako, basi upinzani wote duniani haufai, sivyo?Lissu boya tu kama maboya wengine.
Alafu alikuwa anajifanya ooh ntawajngiza watu barabarani, utafikiri hao watu anawafuga nyumbani kwake.
Lissu wewe ni boya tu
Sababu ya Magufuli kutengeneza reli, kununua ndege, kutengeneza barabara, kugundua wafanyakazi hewa, kupambana na ufisadi, n.k. ni kutokana na shinikizo la upinzani. Kama upinzani husingekuwepo wa wakina Lissu, Mbowe na Zitto ccm hisinge wajibika. Kwahiyo, wacha upimbavu wako!