Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,635
- 8,955
Nyamaza upate dawaWhatever the case Lissu kachapika kisawasawa kwenye sanduku la kura , ndo mana hakuna awareness ya wananchi kwenye hayo maandamano anayotaka cse hata wananchi wanajua walivyo msaliti kwenye sanduku , matokeo yenye ukakasi Sana ni ya ubunge Kwa baadhi ya majimbo nayo hayafiki majimbo 40 , lakn kuhusu kura za uraisi hata kama zimechakachuliwa bado Lissu kapigwa kisawasawa .....