Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,449
- 283,761
Nchi imefika patamu sana !
Natamani nikutukane bonge la tusi mpaka ufe.Huyu balozi anaweza uawa, diplomasia haimruhusu kufanya alichofanya. Huyu kipusa aka punga lisu anapaswa kubinywa gololi zake pimbi kabisa
Acha hila, lilisu ndio nini?Lilisu limekuwa lipolee hadi linatia huruma.
Mnafanana sana au ni wewe mwenyewe?!
Mmewatisha na Mabunduki lazima waogope. Hakuna anayependa kuuwawa kinyama na majeshi ya kihuni ya wanasiasa. Maana wakishavutishwa mabangi yao humo magetoni ni mwendo wa kufyatua tu risasi.Lissu boya tu kama maboya wengine.
Alafu alikuwa anajifanya ooh ntawajngiza watu barabarani, utafikiri hao watu anawafuga nyumbani kwake.
Lissu wewe ni boya tu
Such a murderer.Huyu balozi anaweza uawa, diplomasia haimruhusu kufanya alichofanya. Huyu kipusa aka punga lisu anapaswa kubinywa gololi zake pimbi kabisa
Ndio hilo hilo....lilisu ndio nini?
Mna gubu nyie wanawake!Lisu ni kubw jinga fulani hivi hata ukiliona lilivyo na linavyoongea.
Hahahhaha! Eti mapinduzi ya kijeshi. Lisu hana adabu na atapoteza kila eneo na kila kitu.Lissu has nothing to lose, afanye tu hayo mapinduzi ya kujeshi,lol manake mlizidi maigizo, mnaiba kura waziwazi na mnazima mitandao, halafu yale majinga yaliyoletwa kuangalia mwenendo wa uchaguzi yana sema uchaguzi ulifuata taratibu! Really?!? ... LISSU LIPINDUE HILO LI NCHI, WAKAE SAWA HAO MAANA HAWAJITAMBUI
Mroa post huna lolote wewe kichwa chako empty kawa hao waliomkamata kabla hata ya kujua wanamkamata kwa kosa lipi.Kwanza kabisa tunamuomba Lissu ajitokeze na aseme alipelekwa Polisi kwa tuhuma zipi kwani inaonekana tuhuma hizo sio za kawaida unless zimeisha leo leo.
Binafsi nimesoma tweet ya mwandishi mmoja(Halima Gikandi) ambae kafanya mahojiano na Lissu, mahojiano ambayo yamegusia sababu za Lissu kupelekwa Polisi kwa mahojiano.
Tunamuomba Lissu aseme/athibitishe angali mapema kwani hizi tuhuma n nzito mno hata nikandika hapa mods wanaweza kufuta na ninahakika zitaibua majala mzito sana hapa JF na kwenye mitandao zikiwekwa wazi.
Kama ni kweli Lissu kahojiwa kwa tuhuma hizi, basi tumuombee ingawa bado naamini hizo tuhuma zinaweza kufutwa na ndio maana amewaza hata kuachiwa.
Wewe muhuni tu unayekula Kodi za watanzania kupitia fisadi mjomba wako!Ndio hilo hilo.
Nasikia aliwahi kutibiwa mirembe mkuu.Lisu ni kubw jinga fulani hivi hata ukiliona lilivyo na linavyoongea.
Nadhani hawa watakuwa mfano, huu ujinga ulitaka kuota mizizi kama kweli Lissu, Mbowe na CDM walikuwa wanapanga kufanya mapinduzi serikali isiwachekee, wachukuliwe hatua vinginevyo 2025 kuna watu badala ya kujipanga na uchaguzi watakuwa wanajipanga na mapinduzi baada ya uchaguzi.
Endelea tu ,utapata unachokitafuta.Lissu hajielewi, eti ntainingiza watu barabarani
Boya tu
Hahahhaha! Eti mapinduzi ya kijeshi. Lisu hana adabu na atapoteza kila eneo na kila kitu.
...Tunamuomba Lissu aseme/athibitishe angali mapema kwani hizi tuhuma n nzito mno hata nikandika hapa mods wanaweza kufuta na ninahakika zitaibua majala mzito sana hapa JF na kwenye mitandao zikiwekwa wazi.
Kama ni kweli Lissu kahojiwa kwa tuhuma hizi, basi tumuombee ingawa bado naamini hizo tuhuma zinaweza kufutwa na ndio maana amewaza hata kuachiwa.
HahahaaaaaMna gubu nyie wanawake!