Ngolo Mseka
Member
- Oct 17, 2020
- 28
- 6
Yaani tatizo mnajazwa ujinga na nyie bila kuchuja mnajazika.Hivi hao mnaowaita mabeberu do you know nyie ndo nchi ya tatu Africa kupewa misaada yao,kama hujui bora kunyamaza kuliko kuandika ujingaKabla ya kututaka Sisi 'tumuombee' je, na Yeye huwa 'anajiombea' na 'kutuombea' pia na Sisi Watanzania ili 'tupendwe' na 'Mabeberu' pamoja na 'Maadui' wa Tanzania kama ilivyo Kwake?