Watanzania tumuombee sana Lissu

Watanzania tumuombee sana Lissu

Watakuwa wamemwanikia kila kitu hadharani alichodhani ni siri nzito ya yeye na Amsterdam Tu chezea serikali wewe

Hapo atakuwa baada ya kutoka hata kula hakuweza kula
Polepole aliwahi kusema ana siri zao nyingi na CCM wakiamua kuzianika kapatakalika....sasa naona wamezianika kwenye vyombo vya usalama...!
 
Nadhani hawa watakuwa mfano, huu ujinga ulitaka kuota mizizi kama kweli Lissu, Mbowe na CDM walikuwa wanapanga kufanya mapinduzi serikali isiwachekee, wachukuliwe hatua vinginevyo 2025 kuna watu badala ya kujipanga na uchaguzi watakuwa wanajipanga na mapinduzi baada ya uchaguzi.
Wanafanya mapinduzi na jeshi lipi? Tuache masihara. CCM imeshikilia vyombo vyote vya dola na vya umma. Sasa mapinduzi yanafanyika kwa namna gani? Itabidi tufundishwe CIVICS saana. Sijawahi kuwa Mpinzani au Mchadema ila kwa hakika busara itumike katika kumaliza hizi changamoto za upigaji kura na matokeo n.k. Tanzania ni zaidi ya Uchaguzi. Tuendeleze amani yetu maana naona inapotea na tunaishi kwa hofu mno. Sikutegemea.
 
Polepole aliwahi kusema ana siri zao nyingi na CCM wakiamua kuzianika kapatakalika....sasa naona wamezianika kwenye vyombo vya usalama...!
Propaganda za Siasa hizo. Angekuwa nazo wakati wa kampeni angezisema. Ingekuwa moja ya silaha.
 
Hivi mwanafunzi aliyeiba mtihani na kufaulu, je anahesabika kuwa na cheti feki au yeye anaitwaje??
Refer alichofanya jiwe kwenye uchaguzi na akapewa cheti
 
Aliwaachisha kazi wenye vyeti feki na yeye kapata urais kwa njia ya kura feki ni rais hewa!!!
Yeye anadai kapata kura za kishindo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajua kilichomuua?
Ilikuwa ni balaa. Yaani adui unamleta karibu ili umalize kazi. Ndiyo maana mimi na familia yangu Siasa ni marufuku. Tutabaki kuwa washabiki tu ili kuondoa stress. Ikifika siku ya kura kiroho safi nachagua ninayemtaka bila influence ya uvyama.
 
Lissu pimbi tu, anadhani watanzania ni bidhaa zake za kumfanya atetee mashoga
Kwanza kabisa tunamuomba Lissu ajitokeze na aseme alipelekwa Polisi kwa tuhuma zipi kwani inaonekana tuhuma hizo sio za kawaida unless zimeisha leo leo.

Binafsi nimesoma tweet ya mwandishi mmoja (Halima Gikandi) ambae kafanya mahojiano na Lissu, mahojiano ambayo yamegusia sababu za Lissu kupelekwa Polisi kwa mahojiano.

Tunamuomba Lissu aseme/ athibitishe angali mapema kwani hizi tuhuma n nzito mno hata nikandika hapa mods wanaweza kufuta na ninahakika zitaibua majala mzito sana hapa JF na kwenye mitandao zikiwekwa wazi.

Kama ni kweli Lissu kahojiwa kwa tuhuma hizi, basi tumuombee ingawa bado naamini hizo tuhuma zinaweza kufutwa na ndio maana amewaza hata kuachiwa.
 
Watanzania tumuombee kupitia kwa Nani na alishasemaga wetu kumtegemea Mungu kwenye maombi ni u idiot!! Labda sasa ma idiots tumepanda cheo, mwambieni apambane na Hali yake ndio ataheshimu uwezo wa Mungu
 
Binafsi nimesoma tweet ya mwandishi mmoja (Halima Gikandi) ambae kafanya mahojiano na Lissu, mahojiano ambayo yamegusia sababu za Lissu kupelekwa Polisi kwa mahojiano.

It is this simple.
BE9646D5-3C72-484A-80C3-C0C15F00B930.jpeg
 
Shetani wewe laaniwa na kizazi chako

Ufee ukiwa huna mbele wala nyuma

Hayawani mkubwa ,sijui ulikuja dunian kufanya nini
Mwenzio anaapishwa wewe unaranda randa tu mtaani uchaguzi ushakuchanganya sasa ninani aliyekosa hivyo vitu!

Imeisha hiyo. Acha kazi iendelee.

MAGUFULI4LIFE.
 
Zile kura zilizoletwa na vyombo vya dola na kuzuia mawakala wa upinzani wasiiingie? Wenzenu walikuwa wanaiba kura, lakini nyie mnaleta na magari ya vyombo vya dola kimachomacho? Ndio maana watanzania 2/3 wamepuuza huo ushenzi. Huu haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Watu wanawasanifu tu mnavyojichekeshachekesha. Ni kweli Lisu angeweza kushindwa na magu, lakini sio kwa zile mbinu za juzi za kitoto. Fungulieni watu social media maana upuuzi wenu uko wazi peupe na hakuna mtu ana muda na washamba.
Whatever the case Lissu kachapika kisawasawa kwenye sanduku la kura , ndo mana hakuna awareness ya wananchi kwenye hayo maandamano anayotaka cse hata wananchi wanajua walivyo msaliti kwenye sanduku , matokeo yenye ukakasi Sana ni ya ubunge Kwa baadhi ya majimbo nayo hayafiki majimbo 40 , lakn kuhusu kura za uraisi hata kama zimechakachuliwa bado Lissu kapigwa kisawasawa .....
 
Hakuna mwenye tatizo la kushindwa, bali kashindwaje. Na hata kama angeshindwa bado kura zake nyingi zingetoa viti maalum kibao.
 
Back
Top Bottom