Zile kura zilizoletwa na vyombo vya dola na kuzuia mawakala wa upinzani wasiiingie? Wenzenu walikuwa wanaiba kura, lakini nyie mnaleta na magari ya vyombo vya dola kimachomacho? Ndio maana watanzania 2/3 wamepuuza huo ushenzi. Huu haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Watu wanawasanifu tu mnavyojichekeshachekesha. Ni kweli Lisu angeweza kushindwa na magu, lakini sio kwa zile mbinu za juzi za kitoto. Fungulieni watu social media maana upuuzi wenu uko wazi peupe na hakuna mtu ana muda na washamba.