YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,050
Kaona Watanzania hawamuungi mkono maandamano yake na vurugu zake anatafuta pa kutimkia!!!! Watanzania namba ingine.Kosa kubwa alilofanya kushirikisha wazungu na kujifanya katumwa na wazungu kuja kugombea.Tulimkimbiza mzungu tujitawale yeye anakuja kutuletea mambo ya wazungu kututawala kupitia yeye tena?Sasa unaogopa nini kuzisema hapa? Mana tanpol wamesema alikiwa anaenda ubalozi wa ujerumani kitafuta hifadhi ya kisiasa.