Watanzania tulioko Switzerland

Watanzania tulioko Switzerland

Jifunze kijerumani kwanza. Siwezi kupa guarantee sababu hawaamini sana ukanda wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Poa mkuu ngoja corona iishe niingie tuition, ila mm ata kazi za kulea wazee wasojiweza safi tuu sioni kinyaa kuwasafisha wala nini as long as hela inaingi😁 au kuzibua mitaro ya vyoo I don’t care so nikija sitakuangusha
 
Habari wadau, wazima kwa ambao mpo uswiss tujuane tutengeneze community tusaidie njia ambao hawana michongo. Tupeane ushauri nini cha kufanya.
Najua wapo walio hapa muda mrefu na wanaotarajia kufika hapa inna future just in case ni vizuri ukijua mambo muhimu kabla ya kufika hapa.

Switzerland has got four official languages Germany,French,Italian,Romanch hizi lugha zinazungumzwa based on Canton(mkoa) au eneo husika so ukifika hapa jua Canton utakayoingia uwe mwepesi na lugha husika.

Uswiss ni Tamu sana sema ni ngumu sana. So wadau na wanazuoni mliopo nchini hapa tujuane

Sent using Jamii Forums mobile app
unapatikana wapi, naishi geneva mbele ya balexert...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa mkuu ngoja corona iishe niingie tuition, ila mm ata kazi za kulea wazee wasojiweza safi tuu sioni kinyaa kuwasafisha wala nini as long as hela inaingi au kuzibua mitaro ya vyoo I don’t care so nikija sitakuangusha
Hakuna kazi bila shule mpaka fundi baiskeli ni shule miaka mi3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zipo nyingi sana minimum salary kwa mtu wa chini ni 2500CHF by law chini ya hapo unamshtaki muajili wako
Ukiwa jobless kuna social fund 900CHF a month nyumba unapewa health insurance na serikali kwa masharti ya kawaida tu.

Kazi zipo nyingi sana but muhimu saaaana ni elimu ukiwa na elimu hapa utapapenda japo zipo dirty job zisizohitaji shule but risk sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani kujua hizo dirty job ni zipi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa ulaya unaweza kupiga kazi yoyote bila kuona aibu kwasababu hakuna ndugu au marafiki wanaokuona ndo maana napazimia. Bi mkubwa akikuuliza unafanya kazi gani huko unamwambia ni mfamasia mkuu wa BERN case closed.
Duuh
 
hizi ndo bia yangu pendwa hapa swiss
20200512_235525.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani kujua hizo dirty job ni zipi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhudumia wazee wasiojiweza kama kuwaosha, kuwabadilisha nepi pia kuwalisha. Sasa usifikiri hao wazee ni wa pole. Wanaku amrisha utadhani wewe ni mjukuu wao. Hiki kimejinyea huku ,mwingine anataka akaote jua nje, mwingine anataka dawa zake halafu hawakuheshimu hata chembe. Wengine wanajinyea makusudi.
 
Kuhudumia wazee wasiojiweza kama kuwaosha, kuwabadilisha nepi pia kuwalisha. Sasa usifikiri hao wazee ni wa pole. Wanaku amrisha utadhani wewe ni mjukuu wao. Hiki kimejinyea huku ,mwingine anataka akaote jua nje, mwingine anataka dawa zake halafu hawakuheshimu hata chembe. Wengine wanajinyea makusudi.
Kuhudumia wazee kunataka shule dirty job ni zile huna cheti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oyaa Wazee wa Switzerland My regard to Mwanangu wa Damu Zolile Fuma.
 
Back
Top Bottom