Watanzania tulioko Switzerland

Watanzania tulioko Switzerland

Ingekuwa vizuri ungeweka wazi fursa zilizopo especially kwenye elimu ambazo Mtz awe za apply . Mfano aina ya masters, Ph.D. Scholarships n.k n.k
Kupata scholarship kwa nchi zetu ambazo tunongea kiingereza ngumu sana but ukiwa unajua kijerumani fursa za kuja huku kusoma zipo nafasi za kazi pia but ili uweze kupenya kwenye soko lao la Ajira ni vizuri ukianza kwenye international organisation hii itakujengea nafasi kubwa hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi najua Fluent French na Kinge.Spanish najua kiduchu. Naweza kuja mji gani huko nikapata mishe kirahisi ?
 
Vp kama mtu anataka kuanzia huko bachelor ya science kama vile ya nursing ama ya maabara kwa kujisomesha mwenyewe vp inawezekana ?
Nursing unasoma ukifanikiwa kupata resident permit but issue ukitoka uko swiss embassy wanatambua vyeti vyako but ukija huku na unaresident permit utaanza upya shule au kuna njia mandala utajiunga na matura then uendelee na shule yako but msingi ni kijerumani tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom