The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,170
- 20,202
Fanyeni kazi nyinyi
Mi nasikia tu wakiongea lakini namna inavyoandikwa ndio mtihani hapo. Ila nitaingia class tu.poquito
Mkuu naweza kupata mchongo wa kuja huko kusoma PhD au kupiga kazi, Mimi Nina mastersHabari wadau, wazima kwa ambao mpo uswiss tujuane tutengeneze community tusaidie njia ambao hawana michongo. Tupeane ushauri nini cha kufanya.
Najua wapo walio hapa muda mrefu na wanaotarajia kufika hapa inna future just in case ni vizuri ukijua mambo muhimu kabla ya kufika hapa.
Switzerland has got four official languages Germany,French,Italian,Romanch hizi lugha zinazungumzwa based on Canton(mkoa) au eneo husika so ukifika hapa jua Canton utakayoingia uwe mwepesi na lugha husika.
Uswiss ni Tamu sana sema ni ngumu sana. So wadau na wanazuoni mliopo nchini hapa tujuane
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaaa....Nipo hapa nimetoka kupokea mchana parcel yangu kutoka Mars supermarket.
Upo jimbo gani mkuu.
naomba nikujibu kwa niaba.Mkuu naweza kupata mchongo wa kuja huko kusoma PhD au kupiga kazi, Mimi Nina masters
Ok ngoja ni Google .naomba nikujibu kwa niaba.
njia itakayokufaa ni ya kutumia masomo kwa kazi itakuwa ngumu na hiyo masters yako ya vyuo vya huko nyumbani, hawa jamaa huku hawaitilii maanani elimu inayozalishwa na baadhi ya nchi za afica na hutaweza kushindana na watu toka bara la ulaya kwenye soko la ajira la kimataifa, hii itakuwia vigumu mno, lakini ukija kwa njia ya masomo utatakiwa usome baadhi ya kozi ili kuboost elimu yako atleast uweze kutambuliwa kwenye mifumo ya ajira na utakuwa unafanya part-time job kipindi uko masomoni na kuyasoma mazingira vizuri ya nchi kabla ya kujichanganya, hii njia itakuwa nzuri na itakusaidia sana
Kwa PHD kama utapata scholarship itakuwa ni jambo jema na kama utaweza kujigharamia pia ni vizuri, nina rafiki zangu wawili wanasoma PHD tuko nao huku Switzerland mmoja raia wa Nigeria anasoma chuo cha Geneva Bussiness School hapa mjini Geneva na chuo kinamlipa CHF 30,000 kwa mwaka,na atatumia miaka 4 tu kumaliza PhD yake, mwingine raia ni wa rwanda anasoma ETH Zurich Institute of science, Technology and policy PHD pia yeye analipwa CHF 35,000+ kwa mwaka
Ada za PHD kwa huku zinaanzia CHF2500 na kuendelea kutokana na chuo husika na kwa elimu Switzerland ni moja ya nchi ya ulaya wanayotoa elimu bora kabisa na hutojuta kusoma huku, Karibu mkuu tuwe pamoja huku
ugoogle nini mkuu, sijakuelewa?Ok ngoja ni Google .
Ila na hii Corona
Ni Google kuhusu elimu ya hukougoogle nini mkuu, sijakuelewa?
Habari wadau, wazima kwa ambao mpo uswiss tujuane tutengeneze community tusaidie njia ambao hawana michongo. Tupeane ushauri nini cha kufanya.
Najua wapo walio hapa muda mrefu na wanaotarajia kufika hapa inna future just in case ni vizuri ukijua mambo muhimu kabla ya kufika hapa.
Switzerland has got four official languages Germany,French,Italian,Romanch hizi lugha zinazungumzwa based on Canton(mkoa) au eneo husika so ukifika hapa jua Canton utakayoingia uwe mwepesi na lugha husika.
Uswiss ni Tamu sana sema ni ngumu sana. So wadau na wanazuoni mliopo nchini hapa tujuane
Sent using Jamii Forums mobile app
sawaNi Google kuhusu elimu ya huko
Nadhani wengine wanauliza bila kuwa serious nevertheless wewe endelea kuwajibu kwa ustaarabu as you always do.sawa
😀 😀 usijali mkuu, mimi nitawajibu kwa kile wanachouliza bila kujalisha wanamaanisha au laNadhani wengine wanauliza bila kuwa serious nevertheless wewe endelea kuwajibu kwa ustaarabu as you always do.
Umeshamweleza details bado anang'ang'ania kugoogle .
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nijue changamoto mnazokutana nazo foreignera especialy wa kutoka Afrika😀 😀 usijali mkuu, mimi nitawajibu kwa kile wanachouliza bila kujalisha wanamaanisha au la
kwangu changamoto ni upweke wa kumisi maisha ya kujichanganya na ujamaa ya huko nyumbani, naishi na watu tuliokulia makuzi na tamaduni tofauti kuanzia vyakula, style ya maisha, mahusiano n.k hii ni changamoto kubwa sana kuimuduNaomba nijue changamoto mnazokutana nazo foreignera especialy wa kutoka Afrika
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwnyw najua machache tu😆😆😆Mi nasikia tu wakiongea lakini namna inavyoandikwa ndio mtihani hapo. Ila nitaingia class tu.