Watanzania Tuache Kukurupuka Ovyo

Watanzania Tuache Kukurupuka Ovyo

View attachment 3321627

Nimesoma habar ya kujeruhiwa kwa kiongozi mmoja wa dini akiwa anapata kiraji canteen

Na polisi wamedai wamemkata mtuhumiwa tayar ,ina maana uchunguzi unaendelea na bilashaka tutapata majibu hivi karibuni

Kinacho nisikitisha zaidi ni tabia yetu ya kukurupuka na kutoa lawama ambazo hata hazina msingi,ni watu wa kudandia mambo na kwenda nayo kadri ya vile tunavyojisikia

Na ndio maana ni rahisi mno kwa watu kutubadilishia muelekeo kutoka kwenye mambo ya msingi na kutupeleka kujadili jambo ambalo litaletwa mbele yetu maadamu tu tunajua kukurupuka basi hao tunajaa kwenye mfumo

Pamoja na mapungufu ya jeshi la Polisi lakini si sawa kila jambo linalotokea basi lawama wapewe wao tu,je mnamaanisha jeshi la polisi ndio limepanga kujeruhiwa kwa huyo kiongozi wa dini?

Wengine mnaenda mbali zaidi mnampa lawama mama Samia kuwa sijui hafai kuongoza nchi,sasa kwahiyo kwa kila tatizo linalo tokea Raisi anatakiwa kulizuia?

Kwa kila shida inayotolea mama Samia anatakiwa aitabiri mapema na kuizuia isitokee? Jamani mama Samia kama kiongozi mwingine yeyote yule ana mazuri yake na mabaya yake,kwani hakuna mtu aliyekamilika,ila sio sawa na sio haki kila jambo basi apewe yeye lawama

Tijifunze kuwa watulivu na wenye subira tukisubiri mamlaka husika kufanya uchunguzi na kisha kupitia ripoti yao ndio tuweze kujadili na kuchambua habari hiyo

Tabia hii ya kukurupuka sio nzuri kabisa,haina tija wala faida yoyote ile sana sana inaleta chuki na kuondoa umoja kama taifa

Tulaumu pale inapo paswa kulaumu na tupongeze pale inapo paswa kupongeza na kuhoji pale inapopaswa kuhojiwa

Ni hayo tu!
Kuna mambo inatakiwa ukae baraza la wanaume wakubwa wakueleweshe. Itakusadia sana baadaye. Otherwise huwezi elewa kamwe.
 
Jifunze kuambiwa ukweli na huko ndio kukua
Tumia Akili Acha kutumia makalio
IMG-20250501-WA0040.jpg
 
Kuna mambo inatakiwa ukae baraza la wanaume wakubwa wakueleweshe. Itakusadia sana baadaye. Otherwise huwezi elewa kamwe.
Pole sana kwa kujifariji expert wangu

Jifunze kusikia usiyo yapenda hii itakusaidia sana kukua
 
Kwasasa mpinzani akiachana na mkewe/ mumewe au akaangukiwa hata na kidaka cha mnazi, itasingiziwa serkali na jeshi lake la police.
 
View attachment 3321627

Nimesoma habar ya kujeruhiwa kwa kiongozi mmoja wa dini akiwa anapata kiraji canteen

Na polisi wamedai wamemkata mtuhumiwa tayar ,ina maana uchunguzi unaendelea na bilashaka tutapata majibu hivi karibuni

Kinacho nisikitisha zaidi ni tabia yetu ya kukurupuka na kutoa lawama ambazo hata hazina msingi,ni watu wa kudandia mambo na kwenda nayo kadri ya vile tunavyojisikia

Na ndio maana ni rahisi mno kwa watu kutubadilishia muelekeo kutoka kwenye mambo ya msingi na kutupeleka kujadili jambo ambalo litaletwa mbele yetu maadamu tu tunajua kukurupuka basi hao tunajaa kwenye mfumo

Pamoja na mapungufu ya jeshi la Polisi lakini si sawa kila jambo linalotokea basi lawama wapewe wao tu,je mnamaanisha jeshi la polisi ndio limepanga kujeruhiwa kwa huyo kiongozi wa dini?

Wengine mnaenda mbali zaidi mnampa lawama mama Samia kuwa sijui hafai kuongoza nchi,sasa kwahiyo kwa kila tatizo linalo tokea Raisi anatakiwa kulizuia?

Kwa kila shida inayotolea mama Samia anatakiwa aitabiri mapema na kuizuia isitokee? Jamani mama Samia kama kiongozi mwingine yeyote yule ana mazuri yake na mabaya yake,kwani hakuna mtu aliyekamilika,ila sio sawa na sio haki kila jambo basi apewe yeye lawama

Tijifunze kuwa watulivu na wenye subira tukisubiri mamlaka husika kufanya uchunguzi na kisha kupitia ripoti yao ndio tuweze kujadili na kuchambua habari hiyo

Tabia hii ya kukurupuka sio nzuri kabisa,haina tija wala faida yoyote ile sana sana inaleta chuki na kuondoa umoja kama taifa

Tulaumu pale inapo paswa kulaumu na tupongeze pale inapo paswa kupongeza na kuhoji pale inapopaswa kuhojiwa

Ni hayo tu!
Watu wana makasiriko yao wenyewe kwa likitokea jambo moja kwa moja serikalini sasa hasira zako huko unaenda kuwapa lawama watu wasiohusika mmeshindwa juzi hapo kwenda kumsapoti lisu lkn humu jf mnaongea yote wanafiki sana nyinyi
 
Nimeipenda hii expert wangu
Asilimia kubwa ya hawa viongozi wa dini hasa wa kufanana na muathirika ni walevi na wazinzi! Kawaida tu kwamba ukijihusisha sana na hayo mambo mwisho wake huwa siyo mzuri! Cha ajabu ni kwamba baada ya tukio walienda kuripoti POLISI! Wakati huo hawana imani,, nao!
 
Kuna mambo inatakiwa ukae baraza la wanaume wakubwa wakueleweshe. Itakusadia sana baadaye. Otherwise huwezi elewa kamwe.
Trust me kwa faida jifunze kusikia usiyo yapenda itakusaidia katika maisha yako

Na huko ndio kukua
 
Watu wana makasiriko yao wenyewe kwa likitokea jambo moja kwa moja serikalini sasa hasira zako huko unaenda kuwapa lawama watu wasiohusika mmeshindwa juzi hapo kwenda kumsapoti lisu lkn humu jf mnaongea yote wanafiki sana nyinyi
Nimeipenda hii
 
View attachment 3321627

Nimesoma habar ya kujeruhiwa kwa kiongozi mmoja wa dini akiwa anapata kiraji canteen

Na polisi wamedai wamemkata mtuhumiwa tayar ,ina maana uchunguzi unaendelea na bilashaka tutapata majibu hivi karibuni

Kinacho nisikitisha zaidi ni tabia yetu ya kukurupuka na kutoa lawama ambazo hata hazina msingi,ni watu wa kudandia mambo na kwenda nayo kadri ya vile tunavyojisikia

Na ndio maana ni rahisi mno kwa watu kutubadilishia muelekeo kutoka kwenye mambo ya msingi na kutupeleka kujadili jambo ambalo litaletwa mbele yetu maadamu tu tunajua kukurupuka basi hao tunajaa kwenye mfumo

Pamoja na mapungufu ya jeshi la Polisi lakini si sawa kila jambo linalotokea basi lawama wapewe wao tu,je mnamaanisha jeshi la polisi ndio limepanga kujeruhiwa kwa huyo kiongozi wa dini?

Wengine mnaenda mbali zaidi mnampa lawama mama Samia kuwa sijui hafai kuongoza nchi,sasa kwahiyo kwa kila tatizo linalo tokea Raisi anatakiwa kulizuia?

Kwa kila shida inayotolea mama Samia anatakiwa aitabiri mapema na kuizuia isitokee? Jamani mama Samia kama kiongozi mwingine yeyote yule ana mazuri yake na mabaya yake,kwani hakuna mtu aliyekamilika,ila sio sawa na sio haki kila jambo basi apewe yeye lawama

Tijifunze kuwa watulivu na wenye subira tukisubiri mamlaka husika kufanya uchunguzi na kisha kupitia ripoti yao ndio tuweze kujadili na kuchambua habari hiyo

Tabia hii ya kukurupuka sio nzuri kabisa,haina tija wala faida yoyote ile sana sana inaleta chuki na kuondoa umoja kama taifa

Tulaumu pale inapo paswa kulaumu na tupongeze pale inapo paswa kupongeza na kuhoji pale inapopaswa kuhojiwa

Ni hayo tu!
Fala
 
Asilimia kubwa ya hawa viongozi wa dini hasa wa kufanana na muathirika ni walevi na wazinzi! Kawaida tu kwamba ukijihusisha sana na hayo mambo mwisho wake huwa siyo mzuri! Cha ajabu ni kwamba baada ya tukio walienda kuripoti POLISI! Wakati huo hawana imani,, nao!
Asante expert wangu,walau nawe unayaona mambo katika mtazamo mwengine kabisa

Kama kweli hawana imani na polisi kabisa kwanini wameenda huko huko polisi?

Ishu hapa tunakuwa vipofu kwa mapenzi yetu juu ya jambo fulani matokeo yake tunashindwa kuona ukweli ni upi

Unajua kutoa lawama ni rahisi sana ndio maana machungu yetu tunayapooza kwa kutoa lawama pasina uhalisia

Watanzania tubadilike tuone uoande wa pili wa shilingi hata kama hutuupendi

Na huko ndio kukua
 
View attachment 3321627

Nimesoma habar ya kujeruhiwa kwa kiongozi mmoja wa dini akiwa anapata kiraji canteen

Na polisi wamedai wamemkata mtuhumiwa tayar ,ina maana uchunguzi unaendelea na bilashaka tutapata majibu hivi karibuni

Kinacho nisikitisha zaidi ni tabia yetu ya kukurupuka na kutoa lawama ambazo hata hazina msingi,ni watu wa kudandia mambo na kwenda nayo kadri ya vile tunavyojisikia

Na ndio maana ni rahisi mno kwa watu kutubadilishia muelekeo kutoka kwenye mambo ya msingi na kutupeleka kujadili jambo ambalo litaletwa mbele yetu maadamu tu tunajua kukurupuka basi hao tunajaa kwenye mfumo

Pamoja na mapungufu ya jeshi la Polisi lakini si sawa kila jambo linalotokea basi lawama wapewe wao tu,je mnamaanisha jeshi la polisi ndio limepanga kujeruhiwa kwa huyo kiongozi wa dini?

Wengine mnaenda mbali zaidi mnampa lawama mama Samia kuwa sijui hafai kuongoza nchi,sasa kwahiyo kwa kila tatizo linalo tokea Raisi anatakiwa kulizuia?

Kwa kila shida inayotolea mama Samia anatakiwa aitabiri mapema na kuizuia isitokee? Jamani mama Samia kama kiongozi mwingine yeyote yule ana mazuri yake na mabaya yake,kwani hakuna mtu aliyekamilika,ila sio sawa na sio haki kila jambo basi apewe yeye lawama

Tijifunze kuwa watulivu na wenye subira tukisubiri mamlaka husika kufanya uchunguzi na kisha kupitia ripoti yao ndio tuweze kujadili na kuchambua habari hiyo

Tabia hii ya kukurupuka sio nzuri kabisa,haina tija wala faida yoyote ile sana sana inaleta chuki na kuondoa umoja kama taifa

Tulaumu pale inapo paswa kulaumu na tupongeze pale inapo paswa kupongeza na kuhoji pale inapopaswa kuhojiwa

Ni hayo tu!
Sijasoma kila kitu ila ccm wanahusika na sababu ccm wanahusika askari watalipigapiga danadana hili kama ilivyotokeaga kwa No, kama ilivyotokea kwa akwilina, hii nchi ina viongozi wapumbavu kuliko viongozi wote duniani, kama hao polisi ni wajinga kuliko ujinga wenyewe, ndio mana watu wamekuja judgmental.
 
Kwasababu hio sio topic kwa sasa, ni mpumbavu Tu anayeweza kuandika upumbavu kama huu! Kwani RC kunywa ni Shida?? Tuache mambo ya kipumbavu
Kunywa sio shida sasa kwanini ikisemwa ukweli iwe shida

Mnahofu kwamba ulevi huwa sio.mzuri kwahiyo huenda ikijulikana katukana mtu kwa kilaji kuzidi unga ukweli utajulikana kwamba yeye ndio tatizo au sio

Mkae kwa kutulia,tusubir ripoti ya polisi
 
Back
Top Bottom