ERTUGRUL BEY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 11,622
- 21,690
- Thread starter
- #141
Asante sana expert wangu,walau mpo watu ambao mnaangalia upande wa pili wa shilingiHao nyumbu kila tukio wanalitumia km turufu ya kisiasa, kwani watu wangapi wanadhuriwa? Kitima ni mtu km watu wengine. Hao wamechoka kisiasa, jeshi la polisi haiwezi kumlinda mtu moja moja. Km vp aweke ulinzi wake binafsi