Kwa nini unasema lengo la polisi kusema hivyo? Kwani wewe huamini kama alikuwa akipata kinywani? Unafikiri huyo muathirika ana madhara gani kwa serikali hadi iamue kumhujumu!?Lengo la polisi kusema alikua akipata KINYWAJI ni lipi?

Kwanza hujasoma sasa sijui unajua tunaongelea nini,ndii kukurupuka ninako kusema hukuSijasoma kila kitu ila ccm wanahusika na sababu ccm wanahusika askari watalipigapiga danadana hili kama ilivyotokeaga kwa No, kama ilivyotokea kwa akwilina, hii nchi ina viongozi wapumbavu kuliko viongozi wote duniani, kama hao polisi ni wajinga kuliko ujinga wenyewe, ndio mana watu wamekuja judgmental.
Uliwahi pata majibu ya saa name, a,Ori n.k ?View attachment 3321627
Nimesoma habar ya kujeruhiwa kwa kiongozi mmoja wa dini akiwa anapata kiraji canteen
Na polisi wamedai wamemkata mtuhumiwa tayar ,ina maana uchunguzi unaendelea na bilashaka tutapata majibu hivi karibuni
Kinacho nisikitisha zaidi ni tabia yetu ya kukurupuka na kutoa lawama ambazo hata hazina msingi,ni watu wa kudandia mambo na kwenda nayo kadri ya vile tunavyojisikia
Na ndio maana ni rahisi mno kwa watu kutubadilishia muelekeo kutoka kwenye mambo ya msingi na kutupeleka kujadili jambo ambalo litaletwa mbele yetu maadamu tu tunajua kukurupuka basi hao tunajaa kwenye mfumo
Pamoja na mapungufu ya jeshi la Polisi lakini si sawa kila jambo linalotokea basi lawama wapewe wao tu,je mnamaanisha jeshi la polisi ndio limepanga kujeruhiwa kwa huyo kiongozi wa dini?
Wengine mnaenda mbali zaidi mnampa lawama mama Samia kuwa sijui hafai kuongoza nchi,sasa kwahiyo kwa kila tatizo linalo tokea Raisi anatakiwa kulizuia?
Kwa kila shida inayotolea mama Samia anatakiwa aitabiri mapema na kuizuia isitokee? Jamani mama Samia kama kiongozi mwingine yeyote yule ana mazuri yake na mabaya yake,kwani hakuna mtu aliyekamilika,ila sio sawa na sio haki kila jambo basi apewe yeye lawama
Tijifunze kuwa watulivu na wenye subira tukisubiri mamlaka husika kufanya uchunguzi na kisha kupitia ripoti yao ndio tuweze kujadili na kuchambua habari hiyo
Tabia hii ya kukurupuka sio nzuri kabisa,haina tija wala faida yoyote ile sana sana inaleta chuki na kuondoa umoja kama taifa
Tulaumu pale inapo paswa kulaumu na tupongeze pale inapo paswa kupongeza na kuhoji pale inapopaswa kuhojiwa
Ni hayo tu!
Ukitukanwa unasema unaonewaView attachment 3321627

ndio pale unapokubali na kuamini uongo Je maana ya kukurupuka ni nini? na Kuongea unachokifahamu hata unachokifikiria ? Unajua maana Ya Freedom of speech... Fanya uchunguzi wako uje na taarifa yako sio kuchochea watu kutokufikria na kusubiria taarifa za Wanadamu wengine ambao ni PoliceView attachment 3321627
Nimesoma habar ya kujeruhiwa kwa kiongozi mmoja wa dini akiwa anapata kiraji canteen
Na polisi wamedai wamemkata mtuhumiwa tayar ,ina maana uchunguzi unaendelea na bilashaka tutapata majibu hivi karibuni
Kinacho nisikitisha zaidi ni tabia yetu ya kukurupuka na kutoa lawama ambazo hata hazina msingi,ni watu wa kudandia mambo na kwenda nayo kadri ya vile tunavyojisikia
Na ndio maana ni rahisi mno kwa watu kutubadilishia muelekeo kutoka kwenye mambo ya msingi na kutupeleka kujadili jambo ambalo litaletwa mbele yetu maadamu tu tunajua kukurupuka basi hao tunajaa kwenye mfumo
Pamoja na mapungufu ya jeshi la Polisi lakini si sawa kila jambo linalotokea basi lawama wapewe wao tu,je mnamaanisha jeshi la polisi ndio limepanga kujeruhiwa kwa huyo kiongozi wa dini?
Wengine mnaenda mbali zaidi mnampa lawama mama Samia kuwa sijui hafai kuongoza nchi,sasa kwahiyo kwa kila tatizo linalo tokea Raisi anatakiwa kulizuia?
Kwa kila shida inayotolea mama Samia anatakiwa aitabiri mapema na kuizuia isitokee? Jamani mama Samia kama kiongozi mwingine yeyote yule ana mazuri yake na mabaya yake,kwani hakuna mtu aliyekamilika,ila sio sawa na sio haki kila jambo basi apewe yeye lawama
Tijifunze kuwa watulivu na wenye subira tukisubiri mamlaka husika kufanya uchunguzi na kisha kupitia ripoti yao ndio tuweze kujadili na kuchambua habari hiyo
Tabia hii ya kukurupuka sio nzuri kabisa,haina tija wala faida yoyote ile sana sana inaleta chuki na kuondoa umoja kama taifa
Tulaumu pale inapo paswa kulaumu na tupongeze pale inapo paswa kupongeza na kuhoji pale inapopaswa kuhojiwa
Ni hayo tu!
Shenzi kabisa mpuuzi wa kwanza weweView attachment 3321627

WEWE ni pimbiKunywa sio shida sasa kwanini ikisemwa ukweli iwe shida
Mnahofu kwamba ulevi huwa sio.mzuri kwahiyo huenda ikijulikana katukana mtu kwa kilaji kuzidi unga ukweli utajulikana kwamba yeye ndio tatizo au sio
Mkae kwa kutulia,tusubir ripoti ya polisi
Hatupo sahihi lakin police wenyewe wanajichanganya mfano ni mara ngapi police wanateka watu na wakiulizwa wanasema sio wao.. alafu baada ya muda wanakubali tena wamemshikilia hata juzi tu Murilo si kakataa police hawajapiga watu ?...lakini video zimetuonyeshaje ? Maaskari ni watu wajinga sana....ndio mana ni vijitu visivuokuwa na mipango ya pesaKwanza hujasoma sasa sijui unajua tunaongelea nini,ndii kukurupuka ninako kusema huku
Pili tunaamini kuwq polisi wako nyuma ya kila tukio,ndio maana tunakuja na hitimisho.kwamba ni polisi wamefanya hivi
Je tupo sahihi?
Trust me kuna mambo inatakiwa ukae baraza la wanaume wakubwa wakueleweshe. Itakusadia sana baadaye. Otherwise huwezi elewa kamwe.Trust me kwa faida jifunze kusikia usiyo yapenda itakusaidia katika maisha yako
Na huko ndio kukua
Kwanza nashukuru kwa kuniita mshenzi huenda inakufanya ujisikie vizuriShenzi kabisa mpuuzi wa kwanza wewe
Mtiririko wa Matukio yanayoendelea Tanzania, unaanzaje kuyatenganisha na Jeshi la Polisi, Serikali ??.
Kukurupuka ni kuongea au kufanya uamuzi bila kujua ukweli halisi wa jambo husikandio pale unapokubali na kuamini uongo Je maana ya kukurupuka ni nini? na Kuongea unachokifahamu hata unachokifikiria ? Unajua maana Ya Freedom of speech... Fanya uchunguzi wako uje na taarifa yako sio kuchochea watu kutokufikria na kusubiria taarifa za Wanadamu wengine ambao ni Police
Je unasababu ya msingi ya kunitukana?Ukitukanwa unasema unaonewa
Sijakuelewa unamaanisha nini?Uliwahi pata majibu ya saa name, a,Ori n.k ?
Hapo kwenye bold;View attachment 3321627