Watanzania Tuache Kukurupuka Ovyo

Watanzania Tuache Kukurupuka Ovyo

View attachment 3321627

Nimesoma habar ya kujeruhiwa kwa kiongozi mmoja wa dini akiwa anapata kiraji canteen

Na polisi wamedai wamemkata mtuhumiwa tayar ,ina maana uchunguzi unaendelea na bilashaka tutapata majibu hivi karibuni

Kinacho nisikitisha zaidi ni tabia yetu ya kukurupuka na kutoa lawama ambazo hata hazina msingi,ni watu wa kudandia mambo na kwenda nayo kadri ya vile tunavyojisikia

Na ndio maana ni rahisi mno kwa watu kutubadilishia muelekeo kutoka kwenye mambo ya msingi na kutupeleka kujadili jambo ambalo litaletwa mbele yetu maadamu tu tunajua kukurupuka basi hao tunajaa kwenye mfumo

Pamoja na mapungufu ya jeshi la Polisi lakini si sawa kila jambo linalotokea basi lawama wapewe wao tu,je mnamaanisha jeshi la polisi ndio limepanga kujeruhiwa kwa huyo kiongozi wa dini?

Wengine mnaenda mbali zaidi mnampa lawama mama Samia kuwa sijui hafai kuongoza nchi,sasa kwahiyo kwa kila tatizo linalo tokea Raisi anatakiwa kulizuia?

Kwa kila shida inayotolea mama Samia anatakiwa aitabiri mapema na kuizuia isitokee? Jamani mama Samia kama kiongozi mwingine yeyote yule ana mazuri yake na mabaya yake,kwani hakuna mtu aliyekamilika,ila sio sawa na sio haki kila jambo basi apewe yeye lawama

Tijifunze kuwa watulivu na wenye subira tukisubiri mamlaka husika kufanya uchunguzi na kisha kupitia ripoti yao ndio tuweze kujadili na kuchambua habari hiyo

Tabia hii ya kukurupuka sio nzuri kabisa,haina tija wala faida yoyote ile sana sana inaleta chuki na kuondoa umoja kama taifa

Tulaumu pale inapo paswa kulaumu na tupongeze pale inapo paswa kupongeza na kuhoji pale inapopaswa kuhojiwa

Ni hayo tu!
Mmmmh kazi ipo
 
Hata wewe umekurupuka kusema vitu vilivyo nje ya uwezo wako ,

Kuandika kwa ufasaha tu huwezi utaweza kuandika hoja za kimantiki kwa kujifanya msemaji wa Mh Raisi mama samia ?
Hayo maoni yako maana nikikwambia nionyeshe namna ya kuandika kiufasaha sijui kama utaweza

Tujifunze kuambiwa ukweli na huko ndio kukua
 
View attachment 3321627

Nimesoma habar ya kujeruhiwa kwa kiongozi mmoja wa dini akiwa anapata kiraji canteen

Na polisi wamedai wamemkata mtuhumiwa tayar ,ina maana uchunguzi unaendelea na bilashaka tutapata majibu hivi karibuni

Kinacho nisikitisha zaidi ni tabia yetu ya kukurupuka na kutoa lawama ambazo hata hazina msingi,ni watu wa kudandia mambo na kwenda nayo kadri ya vile tunavyojisikia

Na ndio maana ni rahisi mno kwa watu kutubadilishia muelekeo kutoka kwenye mambo ya msingi na kutupeleka kujadili jambo ambalo litaletwa mbele yetu maadamu tu tunajua kukurupuka basi hao tunajaa kwenye mfumo

Pamoja na mapungufu ya jeshi la Polisi lakini si sawa kila jambo linalotokea basi lawama wapewe wao tu,je mnamaanisha jeshi la polisi ndio limepanga kujeruhiwa kwa huyo kiongozi wa dini?

Wengine mnaenda mbali zaidi mnampa lawama mama Samia kuwa sijui hafai kuongoza nchi,sasa kwahiyo kwa kila tatizo linalo tokea Raisi anatakiwa kulizuia?

Kwa kila shida inayotolea mama Samia anatakiwa aitabiri mapema na kuizuia isitokee? Jamani mama Samia kama kiongozi mwingine yeyote yule ana mazuri yake na mabaya yake,kwani hakuna mtu aliyekamilika,ila sio sawa na sio haki kila jambo basi apewe yeye lawama

Tijifunze kuwa watulivu na wenye subira tukisubiri mamlaka husika kufanya uchunguzi na kisha kupitia ripoti yao ndio tuweze kujadili na kuchambua habari hiyo

Tabia hii ya kukurupuka sio nzuri kabisa,haina tija wala faida yoyote ile sana sana inaleta chuki na kuondoa umoja kama taifa

Tulaumu pale inapo paswa kulaumu na tupongeze pale inapo paswa kupongeza na kuhoji pale inapopaswa kuhojiwa

Ni hayo tu!
Wadanganye Wajinga wenzio
 
Wao hawatupi majibu kwenye maswali yetu magumu ndiyo maana sisi tunakurupuka ktkt kila jambo.
Wanatupa majibu mepesi kwenye maswali magumu
 
Yaani uache kitu ambacho unakifanya. IN SHORT UMEKURUPUKA HOVYO.
 
Wadanganye Wajinga wenzio
Kuwa mpinzani kama wewe haimaanishi kutotambua ukweli,kuwa upinzani sio uadui

Nafahamu wewe ni wale wapinzani kindaki ndaki lakini ukweli lazima usemwe

Mimi mpenzi wa Ccm lakini nasema wazi chama changu kinazingua sana,na sisiti kusema ukweli

Sasa lazima muwe na mipaka kwa kila jambo,kuwachukia polisi au mama Samia haimaanishi hawana mazuri yao,na huko ndio kukua
 
View attachment 3321627

Nimesoma habar ya kujeruhiwa kwa kiongozi mmoja wa dini akiwa anapata kiraji canteen

Na polisi wamedai wamemkata mtuhumiwa tayar ,ina maana uchunguzi unaendelea na bilashaka tutapata majibu hivi karibuni

Kinacho nisikitisha zaidi ni tabia yetu ya kukurupuka na kutoa lawama ambazo hata hazina msingi,ni watu wa kudandia mambo na kwenda nayo kadri ya vile tunavyojisikia

Na ndio maana ni rahisi mno kwa watu kutubadilishia muelekeo kutoka kwenye mambo ya msingi na kutupeleka kujadili jambo ambalo litaletwa mbele yetu maadamu tu tunajua kukurupuka basi hao tunajaa kwenye mfumo

Pamoja na mapungufu ya jeshi la Polisi lakini si sawa kila jambo linalotokea basi lawama wapewe wao tu,je mnamaanisha jeshi la polisi ndio limepanga kujeruhiwa kwa huyo kiongozi wa dini?

Wengine mnaenda mbali zaidi mnampa lawama mama Samia kuwa sijui hafai kuongoza nchi,sasa kwahiyo kwa kila tatizo linalo tokea Raisi anatakiwa kulizuia?

Kwa kila shida inayotolea mama Samia anatakiwa aitabiri mapema na kuizuia isitokee? Jamani mama Samia kama kiongozi mwingine yeyote yule ana mazuri yake na mabaya yake,kwani hakuna mtu aliyekamilika,ila sio sawa na sio haki kila jambo basi apewe yeye lawama

Tijifunze kuwa watulivu na wenye subira tukisubiri mamlaka husika kufanya uchunguzi na kisha kupitia ripoti yao ndio tuweze kujadili na kuchambua habari hiyo

Tabia hii ya kukurupuka sio nzuri kabisa,haina tija wala faida yoyote ile sana sana inaleta chuki na kuondoa umoja kama taifa

Tulaumu pale inapo paswa kulaumu na tupongeze pale inapo paswa kupongeza na kuhoji pale inapopaswa kuhojiwa

Ni hayo tu!

Watuhumiwa Wakuu kabisa kwenye suala hili la kushambuliwa kwa Padre Dkt. Kitima ni Jeshi la Polisi Tz na TISS.

Je, watawezaje kujichunguza wao wenyewe?
 
Litaje tu sheikh, sio haramu au jinai.
Anaitwa Padre Charles Kitima.
Bwana Yoda nakuita mara tatu najua wewe ni wale wadau ambao udini mmeuweka mbele sana,natambua unahisi sijataja kwakuwa huyo ni padre

Tambua sikutaja kwakuwa tayar anafahamika
 
Watuhumiwa Wakuu kabisa kwenye suala hili la kushambuliwa kwa Padre Dkt. Kitima ni Jeshi la Polisi Tz na TISS.

Je, watawezaje kujichunguza wao wenyewe?
Unaweza kudhibitisha au umekariri kwakuwa kila jambo sasa wanafanya wao kwa mtazamo wetu
 
View attachment 3321627

Nimesoma habar ya kujeruhiwa kwa kiongozi mmoja wa dini akiwa anapata kiraji canteen

Na polisi wamedai wamemkata mtuhumiwa tayar ,ina maana uchunguzi unaendelea na bilashaka tutapata majibu hivi karibuni

Kinacho nisikitisha zaidi ni tabia yetu ya kukurupuka na kutoa lawama ambazo hata hazina msingi,ni watu wa kudandia mambo na kwenda nayo kadri ya vile tunavyojisikia

Na ndio maana ni rahisi mno kwa watu kutubadilishia muelekeo kutoka kwenye mambo ya msingi na kutupeleka kujadili jambo ambalo litaletwa mbele yetu maadamu tu tunajua kukurupuka basi hao tunajaa kwenye mfumo

Pamoja na mapungufu ya jeshi la Polisi lakini si sawa kila jambo linalotokea basi lawama wapewe wao tu,je mnamaanisha jeshi la polisi ndio limepanga kujeruhiwa kwa huyo kiongozi wa dini?

Wengine mnaenda mbali zaidi mnampa lawama mama Samia kuwa sijui hafai kuongoza nchi,sasa kwahiyo kwa kila tatizo linalo tokea Raisi anatakiwa kulizuia?

Kwa kila shida inayotolea mama Samia anatakiwa aitabiri mapema na kuizuia isitokee? Jamani mama Samia kama kiongozi mwingine yeyote yule ana mazuri yake na mabaya yake,kwani hakuna mtu aliyekamilika,ila sio sawa na sio haki kila jambo basi apewe yeye lawama

Tijifunze kuwa watulivu na wenye subira tukisubiri mamlaka husika kufanya uchunguzi na kisha kupitia ripoti yao ndio tuweze kujadili na kuchambua habari hiyo

Tabia hii ya kukurupuka sio nzuri kabisa,haina tija wala faida yoyote ile sana sana inaleta chuki na kuondoa umoja kama taifa

Tulaumu pale inapo paswa kulaumu na tupongeze pale inapo paswa kupongeza na kuhoji pale inapopaswa kuhojiwa

Ni hayo tu!
Hivi wewe na akili timamu unaweza kukaa na kukubaliana na report ya polisi wa Tanzania hii?? Hasa kwenye maswala yenye mlengo wa kisiasa?

Kwanini ashambuliwe siku chache baada ya kuikosoa serikali ya mama Yako kuhusu uonevu kukithiri nchini??

Kama ambayo mama Yako anapenda sifa kwenye Kila jambo zuri linalofanyika nchi hii kwa Nini mabaya tumkwepeshe??
 
View attachment 3321627

Nimesoma habar ya kujeruhiwa kwa kiongozi mmoja wa dini akiwa anapata kiraji canteen

Na polisi wamedai wamemkata mtuhumiwa tayar ,ina maana uchunguzi unaendelea na bilashaka tutapata majibu hivi karibuni

Kinacho nisikitisha zaidi ni tabia yetu ya kukurupuka na kutoa lawama ambazo hata hazina msingi,ni watu wa kudandia mambo na kwenda nayo kadri ya vile tunavyojisikia

Na ndio maana ni rahisi mno kwa watu kutubadilishia muelekeo kutoka kwenye mambo ya msingi na kutupeleka kujadili jambo ambalo litaletwa mbele yetu maadamu tu tunajua kukurupuka basi hao tunajaa kwenye mfumo

Pamoja na mapungufu ya jeshi la Polisi lakini si sawa kila jambo linalotokea basi lawama wapewe wao tu,je mnamaanisha jeshi la polisi ndio limepanga kujeruhiwa kwa huyo kiongozi wa dini?

Wengine mnaenda mbali zaidi mnampa lawama mama Samia kuwa sijui hafai kuongoza nchi,sasa kwahiyo kwa kila tatizo linalo tokea Raisi anatakiwa kulizuia?

Kwa kila shida inayotolea mama Samia anatakiwa aitabiri mapema na kuizuia isitokee? Jamani mama Samia kama kiongozi mwingine yeyote yule ana mazuri yake na mabaya yake,kwani hakuna mtu aliyekamilika,ila sio sawa na sio haki kila jambo basi apewe yeye lawama

Tijifunze kuwa watulivu na wenye subira tukisubiri mamlaka husika kufanya uchunguzi na kisha kupitia ripoti yao ndio tuweze kujadili na kuchambua habari hiyo

Tabia hii ya kukurupuka sio nzuri kabisa,haina tija wala faida yoyote ile sana sana inaleta chuki na kuondoa umoja kama taifa

Tulaumu pale inapo paswa kulaumu na tupongeze pale inapo paswa kupongeza na kuhoji pale inapopaswa kuhojiwa

Ni hayo tu!
Umenena vyema

Umenenepa vyema sana,lakn wananchi wanaonekana wamechoka na hiz kauli za uchunguz unaendelea kila sku ,mfano Ben Saa 8 ,alipotea na uchunguz unaendelea,Lissu alitandiea risas mchana Tena makao makuu ya nchi na Bado uchunguz unaendelea ,Azory nae alichukuliwa na watu na Bado uchunguz unaendelea, mzee Kibao naye alichukuliwa kwenye basi akauliwa mchana kwepie na uchunguz unaendelea,tukaona watu wakijarb kuteka kjana mmoja juz juz wakashndwa na jaribio,alaf Wazir nape aliwahi tolewa bastola mchana kweupe mbele ya waandish wa habar na camera zao lakn pakawa kimya,,!! Ni vzur JPT likajitenga na huu uovu mbali na ivyo uenda watu wakafkia mwsho wakaona Bora wajilinde wao
 
Back
Top Bottom