Watanzania Tuache Kukurupuka Ovyo

Watanzania Tuache Kukurupuka Ovyo

Mtu ulikua unauheshimu vizuri kumbe chavi chavi..!!
 
Na
kwa nini atukane? Kwamba uwezo wake wa kufikiri umeishia hapo? Hana hoja! Ni udhaifu mkubwa kuwa na tabia kama hizo za matusi!
Wakurupukaji wote huwa hivi,kwa kauli zao tu utawajua wanaongea kwa hisia zaidi bila kureason, wameniambia mpumbavu,mshenzi,mjinga

Lakini bahati mbaya sana wanadili na mtu ambaye anajitambua na yupo strong emotionally
 
View attachment 3321627

Nimesoma habar ya kujeruhiwa kwa kiongozi mmoja wa dini akiwa anapata kiraji canteen

Na polisi wamedai wamemkata mtuhumiwa tayar ,ina maana uchunguzi unaendelea na bilashaka tutapata majibu hivi karibuni

Kinacho nisikitisha zaidi ni tabia yetu ya kukurupuka na kutoa lawama ambazo hata hazina msingi,ni watu wa kudandia mambo na kwenda nayo kadri ya vile tunavyojisikia

Na ndio maana ni rahisi mno kwa watu kutubadilishia muelekeo kutoka kwenye mambo ya msingi na kutupeleka kujadili jambo ambalo litaletwa mbele yetu maadamu tu tunajua kukurupuka basi hao tunajaa kwenye mfumo

Pamoja na mapungufu ya jeshi la Polisi lakini si sawa kila jambo linalotokea basi lawama wapewe wao tu,je mnamaanisha jeshi la polisi ndio limepanga kujeruhiwa kwa huyo kiongozi wa dini?

Wengine mnaenda mbali zaidi mnampa lawama mama Samia kuwa sijui hafai kuongoza nchi,sasa kwahiyo kwa kila tatizo linalo tokea Raisi anatakiwa kulizuia?

Kwa kila shida inayotolea mama Samia anatakiwa aitabiri mapema na kuizuia isitokee? Jamani mama Samia kama kiongozi mwingine yeyote yule ana mazuri yake na mabaya yake,kwani hakuna mtu aliyekamilika,ila sio sawa na sio haki kila jambo basi apewe yeye lawama

Tijifunze kuwa watulivu na wenye subira tukisubiri mamlaka husika kufanya uchunguzi na kisha kupitia ripoti yao ndio tuweze kujadili na kuchambua habari hiyo

Tabia hii ya kukurupuka sio nzuri kabisa,haina tija wala faida yoyote ile sana sana inaleta chuki na kuondoa umoja kama taifa

Tulaumu pale inapo paswa kulaumu na tupongeze pale inapo paswa kupongeza na kuhoji pale inapopaswa kuhojiwa

Ni hayo tu!
 
Ngonjera ndeeefu kasaini kabisa 5000
 
You are talking shit man! Mbona na wewe umekurupuka hujajipa muda wa kutafakari? Ina maana Rais haya matukio yanayotokea yakiwagusa raia wake hayasikii? Ulisikia minyoo aliyotapika siku analihutubia taifa? Atumie akili, za kuambiwa changanya na za kwako by Mkwere of Msoga!
 
Nikwambie kitu expert wangu?

Hakuna kitu rahisi hapa duniani kama kutoa lawama

Tafakari!
Ukiona unalaumiwa ujue mlalamikaji anayo njia nzuri kuzidi yakwako....inatakiwa ukae kwa utulivu uazime busara zake zikufae kwa baadae
 
View attachment 3321627

Nimesoma habar ya kujeruhiwa kwa kiongozi mmoja wa dini akiwa anapata kiraji canteen

Na polisi wamedai wamemkata mtuhumiwa tayar ,ina maana uchunguzi unaendelea na bilashaka tutapata majibu hivi karibuni

Kinacho nisikitisha zaidi ni tabia yetu ya kukurupuka na kutoa lawama ambazo hata hazina msingi,ni watu wa kudandia mambo na kwenda nayo kadri ya vile tunavyojisikia

Na ndio maana ni rahisi mno kwa watu kutubadilishia muelekeo kutoka kwenye mambo ya msingi na kutupeleka kujadili jambo ambalo litaletwa mbele yetu maadamu tu tunajua kukurupuka basi hao tunajaa kwenye mfumo

Pamoja na mapungufu ya jeshi la Polisi lakini si sawa kila jambo linalotokea basi lawama wapewe wao tu,je mnamaanisha jeshi la polisi ndio limepanga kujeruhiwa kwa huyo kiongozi wa dini?

Wengine mnaenda mbali zaidi mnampa lawama mama Samia kuwa sijui hafai kuongoza nchi,sasa kwahiyo kwa kila tatizo linalo tokea Raisi anatakiwa kulizuia?

Kwa kila shida inayotolea mama Samia anatakiwa aitabiri mapema na kuizuia isitokee? Jamani mama Samia kama kiongozi mwingine yeyote yule ana mazuri yake na mabaya yake,kwani hakuna mtu aliyekamilika,ila sio sawa na sio haki kila jambo basi apewe yeye lawama

Tijifunze kuwa watulivu na wenye subira tukisubiri mamlaka husika kufanya uchunguzi na kisha kupitia ripoti yao ndio tuweze kujadili na kuchambua habari hiyo

Tabia hii ya kukurupuka sio nzuri kabisa,haina tija wala faida yoyote ile sana sana inaleta chuki na kuondoa umoja kama taifa

Tulaumu pale inapo paswa kulaumu na tupongeze pale inapo paswa kupongeza na kuhoji pale inapopaswa kuhojiwa

Ni hayo tu!
Ebu nikuulize,hivi wewe ni baba katika familia yako,kila mara mwanao anakuja nakulalamika kuwa wenzake huko shuleni mara kwa mara umpiga,lkn we baba unamwambia ngoja nitafuatilia au ngoja ntafanya uchunguzi,lkn huo unachukua mda mrefu bila kutoa matokeo,we mtoto unaendelea kuteseka,hivi hali hiyo ikiendelea si yaweza kuja fikra kuwa baba yangu uenda anahusika katika uovu huo, maana kwanini anashindwa kukomesha hali hiyo wakati anauwezo huo??,ndicho kitokeacho sasa,kwa wale tunaotaraji kuwa watetezi wa wananchi.
 
View attachment 3321627

Nimesoma habar ya kujeruhiwa kwa kiongozi mmoja wa dini akiwa anapata kiraji canteen

Na polisi wamedai wamemkata mtuhumiwa tayar ,ina maana uchunguzi unaendelea na bilashaka tutapata majibu hivi karibuni

Kinacho nisikitisha zaidi ni tabia yetu ya kukurupuka na kutoa lawama ambazo hata hazina msingi,ni watu wa kudandia mambo na kwenda nayo kadri ya vile tunavyojisikia

Na ndio maana ni rahisi mno kwa watu kutubadilishia muelekeo kutoka kwenye mambo ya msingi na kutupeleka kujadili jambo ambalo litaletwa mbele yetu maadamu tu tunajua kukurupuka basi hao tunajaa kwenye mfumo

Pamoja na mapungufu ya jeshi la Polisi lakini si sawa kila jambo linalotokea basi lawama wapewe wao tu,je mnamaanisha jeshi la polisi ndio limepanga kujeruhiwa kwa huyo kiongozi wa dini?

Wengine mnaenda mbali zaidi mnampa lawama mama Samia kuwa sijui hafai kuongoza nchi,sasa kwahiyo kwa kila tatizo linalo tokea Raisi anatakiwa kulizuia?

Kwa kila shida inayotolea mama Samia anatakiwa aitabiri mapema na kuizuia isitokee? Jamani mama Samia kama kiongozi mwingine yeyote yule ana mazuri yake na mabaya yake,kwani hakuna mtu aliyekamilika,ila sio sawa na sio haki kila jambo basi apewe yeye lawama

Tijifunze kuwa watulivu na wenye subira tukisubiri mamlaka husika kufanya uchunguzi na kisha kupitia ripoti yao ndio tuweze kujadili na kuchambua habari hiyo

Tabia hii ya kukurupuka sio nzuri kabisa,haina tija wala faida yoyote ile sana sana inaleta chuki na kuondoa umoja kama taifa

Tulaumu pale inapo paswa kulaumu na tupongeze pale inapo paswa kupongeza na kuhoji pale inapopaswa kuhojiwa

Ni hayo tu!
Kaa kimya kama!
 
Subira hivi sasa ni teja tangu wa nyasi hadi sembe,sasa ni nani unataka awe subira?
 
Sema tu unamtetea SAMIA sababu ni mwislam mwenzako,tunawajua ndugu zetu linapokuja issue Muslim vs Christian huwa akili hazifanyi kazi.
 
Ndio akili za watanzania zilipofikia sasa

Tuna safar ndefu sana aisee
 
Kukurupuka ni kuongea au kufanya uamuzi bila kujua ukweli halisi wa jambo husika

Nyie tayar hata wenye mamlaka ya kufanya uchunguzi bado hawajamaliza kazi nyie tayar mna majibu yenu mkononi,kama sio kukurupuka ni nini?

Unataka upate taarifa kutoka kwa wananchi ambao ndio hao wakurupukaji?

Ebu tuwe makini expert wangu
unajua uchunguzi wangu napata kwa source gani infact you are too lazy to think and Ignorance fills our life kwanini Unahisi mwananchi hana taarifa ambayo police anayo ambayo haijatolewa Kwenye Umati, Unadhani Kila Mtuu yuko kama wewe na unataka watu wawe lazy kama wewe Umesema Nyie unakurupuka Sina chama sema wewe Tumia singular nouns ukiwa unamjibu mwanadamu
 
Ndio akili za watanzania zilipofikia sasa

Tuna safar ndefu sana aisee
SHAME ON YOU..ukifikria At least kuongea Hoja fikria maana Haitaji uwe na vyeti vya masters ili uwe na common sense, Tell me We Mtanzania, huyo Kada wa chadema Jijini mbeya ameingiliwa nyumban kwake na watu waliojitambulisha ni mapolisi, Okay Kwanini wampige kwanini waondoke nae Watanzania kama Nyie ambao mnasubiria Watoto wenu waishi chini ya mamlaka yenye sheria mbovu ndio vimbelembele kusema common sense ni uropokaji Dhahiri inaonyesha Your weak mind and Trust Me wewe sio Tajiri Hutokaa Uwe Tajiri Utamfanyia kazi Tajiri yako Mpaka Unakufa na Tajiri ako hatojali familia yako kabisaaaa DEVELOPING COUNTRIES,DEVELOPING PEOPLE ,WITH A DEMOCRACY OF THE RICH FOR THE RICH afu we maskini unawaita watanzania wenzako waropokaji SHAME ON YOU
 
View attachment 3321627

Nimesoma habar ya kujeruhiwa kwa kiongozi mmoja wa dini akiwa anapata kiraji canteen

Na polisi wamedai wamemkata mtuhumiwa tayar ,ina maana uchunguzi unaendelea na bilashaka tutapata majibu hivi karibuni

Kinacho nisikitisha zaidi ni tabia yetu ya kukurupuka na kutoa lawama ambazo hata hazina msingi,ni watu wa kudandia mambo na kwenda nayo kadri ya vile tunavyojisikia

Na ndio maana ni rahisi mno kwa watu kutubadilishia muelekeo kutoka kwenye mambo ya msingi na kutupeleka kujadili jambo ambalo litaletwa mbele yetu maadamu tu tunajua kukurupuka basi hao tunajaa kwenye mfumo

Pamoja na mapungufu ya jeshi la Polisi lakini si sawa kila jambo linalotokea basi lawama wapewe wao tu,je mnamaanisha jeshi la polisi ndio limepanga kujeruhiwa kwa huyo kiongozi wa dini?

Wengine mnaenda mbali zaidi mnampa lawama mama Samia kuwa sijui hafai kuongoza nchi,sasa kwahiyo kwa kila tatizo linalo tokea Raisi anatakiwa kulizuia?

Kwa kila shida inayotolea mama Samia anatakiwa aitabiri mapema na kuizuia isitokee? Jamani mama Samia kama kiongozi mwingine yeyote yule ana mazuri yake na mabaya yake,kwani hakuna mtu aliyekamilika,ila sio sawa na sio haki kila jambo basi apewe yeye lawama

Tijifunze kuwa watulivu na wenye subira tukisubiri mamlaka husika kufanya uchunguzi na kisha kupitia ripoti yao ndio tuweze kujadili na kuchambua habari hiyo

Tabia hii ya kukurupuka sio nzuri kabisa,haina tija wala faida yoyote ile sana sana inaleta chuki na kuondoa umoja kama taifa

Tulaumu pale inapo paswa kulaumu na tupongeze pale inapo paswa kupongeza na kuhoji pale inapopaswa kuhojiwa

Ni hayo tu!
Hao nyumbu kila tukio wanalitumia km turufu ya kisiasa, kwani watu wangapi wanadhuriwa? Kitima ni mtu km watu wengine. Hao wamechoka kisiasa, jeshi la polisi haiwezi kumlinda mtu moja moja. Km vp aweke ulinzi wake binafsi
 
Back
Top Bottom