ERTUGRUL BEY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 11,600
- 21,650
- Thread starter
- #101
Shida ipo kubwa sana kuna mentality moja tunaipandikiza katika nchi hii kwamba kila jambo baya ni la serikali au polisiSheikh wangu haya mambo unapotaka kujadili kwanza uwe na akili zako timamu, bila kutia utimu, uchama wala udini.. kifupi uwe NEUTRAL
Ujue hata hao askari wanapoanza uchunguzi wao tuseme,mtu kafa kwa kupigwa kisu, ama kauwawa bila kuibiwa kitu. Kuna vitu huwa wanavishuku.
Mfano alikorofishana na nani, mawasiliano yake n.k
Kuna shida gani watanzania wanaohisi ni serikali kisa ametoka kuisema serikali.
Kama kweli wananchi wanatoa hisia zao kwanini wote mnatoa lawama kwa serikali na polisi tu?
Sijaona hata mtu mmoja akiwa na.mtazamo tofauti juu ya kadhia hiyo
Busara ni kusubiri uchunguzi kisha ndio muwe na haki ya kujaji kutokana na matokeo ya uchunguzi huo
Mimi sipo upande wowote ule nimesimamia katikati nikisubir taarifa ya polisi,hapo sasa ntakuwa katika nafasi ya kupima taarifa yao