Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,887
- 141,524
- Thread starter
- #21
It looks like you were right!!That ain’t happening. Simuoni akiingia Ulaya au Marekani in the foreseeable future!
😂
It looks like you were right!!That ain’t happening. Simuoni akiingia Ulaya au Marekani in the foreseeable future!
Umejuaje kama aliitwa mtegoni...Haiwezekani aende Ulaya. Huku mlishatuaminisha atakamatwa. Unless mtuambie huko nyuma mliwadanganya wafuasi wenu
Hata kwenye NDOA wanawake huwa wanaanza vizuri sana, wakishasoma ramani zako zote hakuna RANGI utaacha kuiona ............ kama SAMIA tuSamia alianza vzr Sana aisee, cjui alipandwa na shetani gani aisee au ndo ukiwa mamlakani unakuwa kipofu