Watanzania, Msichaguwe Chama Chagueni Kiongozi

Watanzania, Msichaguwe Chama Chagueni Kiongozi

Kama una uwezo wa kuwasomesha wanao, mbona zipo shule mpaka za dollar 5,000 kwa mwezi? darasa halizidi wanafunzi sita na mwalimu mmoja hafundishi zaidi ya masaa mawili kwa siku.

Hongera sana, na hayo unayaweza leo kwa sera nzuri za Kikwete.

Halafu, hao watoto wa kwenda shule umewapata lini? wewe mwenyewe si bado mwanafunzi na upo nyumbani kwa wazazi wako?

wengi wameliibia taifa,ndio maana wana uwezo huo!hizo ndio sera nzuri unazozungumzia?wengine ni wale waliokwapua EPA na kusamehewa na JK,utadhani yeye ndiye mahakama!
Kweli mahaba upofu!
 
Siipigii kura yoyote Katiba inayopendekezwa si kwa sababu hiyo uliyoiweka bali ni kwa sababu haijatambuwa kiuwazi uwepo wa Mahakama ya Kadhi Tanzania. Kumbuka hilo.

Kwa hiyo hakuna atakaeipata kura yangu, si wa ndiyo wala si wa hapana.

Matakwa yako hayajazingatiwa kwenye katiba pendekezwa,uamuzi unaouchukua ni kususia kura ya maoni!Ili iweje?
Hapo unashindwa kupiga kura ya ndiyo sababu hakuna kadhi,in the other hand inakuwia vigumu kusema hapana sababu unajua utakuwa unafanya sawa na matakwa ya Ukawa!Yaani hapa ni sawa na kuliko nipate na jirani apate bora tukose wote!
Nikukumbushe tu kuwa wewe ni mwana ccm,na tunategemea wadau wa ccm waipigie kura ya ndiyo,kwa uamuzi wako still ni gain kwa wanaopinga hiyo katiba:
Badala ya point 3 umewapa point 1 na kuwaacha wenzio wakavu!
Susia bhana,tunaomba uwashawishi wanaccm wenzio wasusie!
 
Angalau kwa mbali umeanza kujitambua binti yangu lakini Kumbuka viongozi wengi kutoka ccm wanaharibka na mfumo uliopo ndani ya chama hivyo mwisho Wa siku wanakuwa hivyo so ni vyema kuwapiga chin ccm wotee
 
You had the good point FaizaFox but for now we need to uproot (vote ccm out) the current system and replace with the brand new one through the ballot box.
 
Wewe unavyoaandika tu unaonesha ni bado kula kulala nyumbani.Kama wazee wana una uwezo wa kukusomesha nje ya shule hizo ni pia kwa sera nzuri za Serikali hii hii. Kumbuka hilo.
Watu wa Umri wako hawana akili kama yako.Huyo JKM umsifu wewe,maana hakuna mtu asiyemsifia........ wake.Kama mie kula kulala basi we lazima ni mfanyabiashara wa maeneo maalum
 
Watu wa Umri wako hawana akili kama yako.Huyo JKM umsifu wewe,maana hakuna mtu asiyemsifia........ wake.Kama mie kula kulala basi we lazima ni mfanyabiashara wa maeneo maalum

Ndiyo nani huyo Julius Kambarage Makongoro?
 
Matakwa yako hayajazingatiwa kwenye katiba pendekezwa,uamuzi unaouchukua ni kususia kura ya maoni!Ili iweje?
Hapo unashindwa kupiga kura ya ndiyo sababu hakuna kadhi,in the other hand inakuwia vigumu kusema hapana sababu unajua utakuwa unafanya sawa na matakwa ya Ukawa!Yaani hapa ni sawa na kuliko nipate na jirani apate bora tukose wote!
Nikukumbushe tu kuwa wewe ni mwana ccm,na tunategemea wadau wa ccm waipigie kura ya ndiyo,kwa uamuzi wako still ni gain kwa wanaopinga hiyo katiba:
Badala ya point 3 umewapa point 1 na kuwaacha wenzio wakavu!
Susia bhana,tunaomba uwashawishi wanaccm wenzio wasusie!

Ingekuwa UKAWA wameunga mkono uwepo wa kadhi, hapo labda ningepiga NO.

Lakini hawakuunga mkono, kwa hiyo sioni sababu ya kupiga kura ya maoni ya katiba. Sipigi.
 
wengi wameliibia taifa,ndio maana wana uwezo huo!hizo ndio sera nzuri unazozungumzia?wengine ni wale waliokwapua EPA na kusamehewa na JK,utadhani yeye ndiye mahakama!
Kweli mahaba upofu!

Hakuna aliyeiba akasamehewa na yeyote yule, au unamaanisha Julius Kambarage?
 
FF
Mwaka 1995 JK hakushinda ndani ya CCM ndo maana hakuwa kiongozi katika kipindi hicho 1995/2005. Na kama unajitoa ufahamu kwa hili ni sawa na kusema uchaguzi mkuu wa 2010 JK hakushinda, matokeo unayajua.

Alishinda marehemu Nyerere akamfanyia zengwe akaweka kikaragosi chake.
 
Wakati tunaingia kwenye mwaka wa heka heka za uchaguzi wa Wabunge na wa Rais.

Nawaasa Watanzania wasichaguwe chama bali wachaguwe kiongozi.

Mfano mzuri ni kama tuliouonesha mwaka 2005, wakati tulipomchaguwa Kikwete kuwa kiongozi mkuu wa nchi hii. Ushindi alioupata Kikwete wa zaidi ya kura 80% ni dhahiri ulikuwa si kwa kuchaguliwa na wana CCM bali hata wa upinzani na wasio na vyama.

Mfano mwingine ni wa John Shibuda, pale alipoihama CCM na kuhamia Chadema, wana CCM wa jimbo lake wengi walimpa kura zao bila kujali yupo chama kipi. Huo ni uzalendo na unaonesha jinsi Tanzania tunavyoweza kufanya maamuzi bila ya kuburuzwa na chama au wenye chama.

Viongozi wazuri tunao, tena tusingoje wale wanaojitokeza tu kuzitaka hizi nyadhifa kwa udi na uvumba. Tutazame katika jamii, tunapomuona anaefaa kuongoza, hata kama si mwanasiasa, bali tukimuona kuwa haa huyu anafaa kuongoza, tumlazimishe, tumsimamishe, tumchaguwe.

Tukianza kuchaguwa viongozi na si chama tutakuwa sisi wenyewe tumeshakuwa viongozi.Tuanze kwa kujiongoza wenyewe kwa kuchaguwa tukitakacho na si kuburuzwa na wakitakacho wenye vyama.

Tukianza hivyo, hata vyama vyetu vitaweka viongozi tuwatakao na si wawatakao wenye vyama.

Nasema haya kwa kuwa nimeona katika vyama vyetu vya siasa vyote, kuna tabia ya kura za maoni. Wananchi wanaweza kuwa na mgombea wao wakampendekeza agombee lakini ikifika kwenye vyama wanakatwa na kuwekwa wale wawatakao wenye vyama. Hii si demokrasia tuitakayo na huleta uvunjifu wa amani.

Ni wakati muafaka sasa Watanzania tusikubali kuchaguwa wamtakae wenye vyama, tunataka tuwe na viongozi tuwatakao wananchi tulio wengi. Tunataka na wagombea huru, wasio na vyama pia wawepo, ili tuwachaguwe tuwaonao wanatufaa na si wanaowafaa wenye vyama.
Mwaka huu inabidi tuchague chama tu kwa hali yoyote ile.Lengo kuu ni KUITOA CCM kwa hali yoyote ile.Mfumo huu inabidi UFE na mizizi yake.
 
Mwaka huu inabidi tuchague chama tu kwa hali yoyote ile.Lengo kuu ni KUITOA CCM kwa hali yoyote ile.Mfumo huu inabidi UFE na mizizi yake.

Hapo ndipo nnapowaona kuwa mko finyu sana. Adui yenu si CCM adui yenu ni mwananchi anaeichaguwa CCM, kupambana na CCM ni kama kupambana na kivuli. Hamjijuwi hamjitambuwi.

CCM ni chama na chama ni watu, umeshaona CCM ikashughulika na chadema au CUF? Kinana yuko wapi sasa hivi? anafanya nini? Fikiri.
 
Unataka makosa yaliyotendeka 2005 yajitokeza leo?
Najua sana kuna SIRI NZITO Imejificha juu ya ujumbe huu,Udini mtupu.
Mnajitahidi sana kujenga taswira HASI (-) kwa jamii hasa kwa hao wasio wa upande wenu.
Ili baadaye mje na majina ya upande wenu na kutuhadaa chague/kiongozi mtu na sio chama.

NAKUONA UNAJIGEUZA RANGI LEO UMEKUWA MWUUNGWANA SANA KUMBE KINYONGA NI KINYONGA TU.
 
Hapo ndipo nnapowaona kuwa mko finyu sana. Adui yenu si CCM adui yenu ni mwananchi anaeichaguwa CCM, kupambana na CCM ni kama kupambana na kivuli. Hamjijuwi hamjitambuwi.

CCM ni chama na chama ni watu, umeshaona CCM ikashughulika na chadema au CUF? Kinana yuko wapi sasa hivi? anafanya nini? Fikiri.[/QUOTE
UPEO WAKO UKO CHINI SANA.SIWEZI KUPOTEZA MUDA WANGU KUKUELIMISHA!MTAFUTE WA SAIZI YAKO!
 
hapo ndipo nnapowaona kuwa mko finyu sana. Adui yenu si ccm adui yenu ni mwananchi anaeichaguwa ccm, kupambana na ccm ni kama kupambana na kivuli. Hamjijuwi hamjitambuwi.

Ccm ni chama na chama ni watu, umeshaona ccm ikashughulika na chadema au cuf? Kinana yuko wapi sasa hivi? Anafanya nini? Fikiri.
upeo wako uko chini sana!!siwezi kupoteza muda kukuelimisha.mtafute wa saizi yako!
 
Back
Top Bottom