mzee Chibai
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 980
- 243
TAKUKURU wapo na kila mwaka wanazidi kupata uzoefu na sisi wenyewe inabidi tuwe macho. Tunapoona kuna kutoa na kupokea rushwa tusifumbe macho.
Takukuru haina uwezo wa kuzuia wala kukemea rushwa .. Ni taasisi ambayo ipo tu
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums