Watanzania mnajionaje?

Watanzania mnajionaje?

Sasa dunia hii ina vichaa wangapi wanaotaka kufanya ukichaa wao wenyewe?

Na mimi nitafuatilia wangapi?

Miezi michache nilimpigia simu binamu yangu mmoja yupo Geneva, Switzerland. Baba yake mtu mkubwa sana serikalini. Na alikuwa katoa habari fulani kuhusu mkutano wa Davos. Sasa mimi mara nyingine nikitaka kufuatilia hizi habari sisomi magazeti wala kusikiliza kauli rasmi, napiga simu kuongea na watu wenye access na hizi habari kama wanafamilia, wanafunguka vizuri sana.

Nikamuuliza binamu yangu, mbona baba yako hajaenda Ulaya kutuwakilisha? Mbona Tanzania tunajifungia sana watu hawatembei kwingine duniani kutafuta biashara?

Akaniambia, binamu yangu, wewe si uko Marekani huko? Nikamwambia ndiyo. Ushajipatia makaratasi yote ya kuishi kama raia poa tu? Nikamwambia ndiyo. Akasema safi sana. Sahau hawa Watanzania na siasa zao. Wewe hakikisha familia yako iko fresh na watu wako wa karibu wako poa. Hao Watanzania siasa zao waachie wenyewe wanazijua wenyewe. Zitakuumiza kichwa tu.

Nikaona duh. Mimi huwa nakuwa na kisirani cha kufunga vioo, lakini huyu zaidi.

Lakini alinipa somo kubwa.

Mara nyingine tunahangaikia mambo ya "Watanzania" wakati hata tukiulizwa "Mtanzania" ni nani hatuwezi kumtaja.

Sitaweza kuacha kufuatilia siasa za Tanzania kama alivyoshauri yeye. Lakini pia sitakesha kufuatilia habari za "Watanzania wakoje?" bila msingi maalum.

Sorry if I come off snobbish or uppity. That is just how I feel.
Kiranga Michango yako huwa naiheshimu sana bro....

Heshima kwako....
 
We babu jamani Mungu azidi kukuweka tu
 
We jamaa bhana
 
Mkuu mimi kama nimejaribu kukielewa ulichotaka kitufikie lakini uwasilishaji wako kama haujawa mzuri sana maana hapa mtanzania umemuelezea kama mtu fulani hivi hajitambui au hajielewi. Imekosea.......
Vizuri kama umeelewa, nachotaka kusema ukweli hauvishwi nguo otherwise tunachelewa sana kwa kudhan ukweli usipova nguo ni udharilishaji. Ni mtazamo wako juu ya uwasilishaji.
 
Back
Top Bottom