Watanzania mnajionaje?

Watanzania mnajionaje?

Ewaaaa! Mkuu mawazo yangu na yako yamefumaniana! Nilitaka kuwasilisha hiki ulichokisema, Ramli yangu inaniambia kuwa huyu ni ONTARIO katika ID mpya! Na kama ni yeye basi ajue anahitajika huku atoe ufafanuzi wa grisi' ya Mil 50 aliokwapua.
ha hahaaaa....JF bhanaaa
 
tunapishana ukubwa wa kiwango cha udhaifu.
cc Why nations fail book.
unaweza kupita JF ya nigeria Nairaland utagundua pia niwajinga kuliko Magreat thinkers wa jf yenye member wachache tu.
Kwanza Nairaland ya ovyo kama nn. JF Imesimama kwa kweli
 
Niliwahi kufanya kazi Wall St. na dada mmoja Mkorea, Korean American.

Yule dada mtu poa sana. Anapiga kazi kama hana akili nzuri, yuko serious vizuri (usinywe naye pombe tu happy hour, anaweza kukuparamia maana akili zote zinamtoka).

Basi yule dada by all accounts nilikuwa namuona mtu well balanced. Isipokuwa kitu kimoja tu.

Anawachukia Wakorea wenzake kichizi.

Yani ukitaka kumchafua aanze kupaka mtajie habari za Wakorea. Si Wakorea wa Marekani si Wakorea wa North Korea, si Wakorea wa South Korea.

Anawapaka vibaya sana. Uzuri wake sijawahi kumsikia akibagua Waafrika au watu wengine wowote.

Yeye ni Wakorea tu.

Granted kuna Wakorea wanastahili maneno yake, lakini obviously alivuka mpaka.

Kuna kitu katika psychiology kinaitwa "self hate". Unaweza kujichukia wewe mwenyewe au ukachukia watu wa taifa lako. Inawezekana kabisa ukajiaminisha unawapenda ndiyo maana unachukia mambo yao fulani.

There is a whole Wiki about Self hating Jews for example.

It is here Self-hating Jew - Wikipedia

Mind you, I don't have any problem with being self critical. In fact I have been self critical of myself and Tanzanians in many occassions. But when the negativity is unchecked, this self critical nature turns into self hate.

Tanzanians are too diverse and numerous to be categorized in an overly monolithic way.
Mkuu....
 
Back
Top Bottom