They are useless at all kama kufanikiwa mbona watanzania wengi wamefanikiwa kuhusu mapungufu yapo kila sehemu ndio maana kuna msemo No one is perfect .Watu ambao huwa mnaponda watanzania mnakuwaga mmefanikiwa nini kuzidi hao watanzania mnao waponda?
Hah ahShikamoo Ras Simba naona mwanafunzi wako yupo anapima uwezo wake hakika wewe ni mwalimu bora kabisaa.
Hiyo kasumba tunayo wabongo tuu dunia nzima mtu akisha panda ndege na kuongea ongea inglish basi ana dismiss wengine wote as failures.They are useless at all kama kufanikiwa mbona watanzania wengi wamefanikiwa kuhusu mapungufu yapo kila sehemu ndio maana kuna msemo No one is perfect .
Hakuna mahali nimemponda Mtz, kama kuna mahali nasema uongo nitaomba mods wafute uzi huu.Watu ambao huwa mnaponda watanzania mnakuwaga mmefanikiwa nini kuzidi hao watanzania mnao waponda?
Hah haHiyo kasumba tunayo wabongo tuu dunia nzima mtu akisha panda ndege na kuongea ongea inglish basi ana dismiss wengine wote as failures.
Utaskia watanzania hawaajiriki sjui hawafanyi nini khaa!
Ni roho mbaya tu znakuwaga
Fact mkuu Nigger's always wanajiona wao ni bora kuliko wengine asa wakiwa na vitu ambavyo kwenye jamii inayomzunguka hawana.Hiyo kasumba tunayo wabongo tuu dunia nzima mtu akisha panda ndege na kuongea ongea inglish basi ana dismiss wengine wote as failures.
Utaskia watanzania hawaajiriki sjui hawafanyi nini khaa!
Ni roho mbaya tu znakuwaga
Kanuni moja ya maisha ninayotaka kuifuatilia kwa ukaribu sana ni kutojishughulisha sana na maisha ya watu wasionihusu.
Wao wana uhuru kuishi wanavyotaka, na mimi nina uhuru wa kuishi ninavyotaka.
Na hata kama sifurahii wanavyoishi, maadam hawajaniingiliakatika maisha yangu, nitatetea uamuzi waowa kuishi wanavyotaka, na nataka wao pia waheshimu mimi uamuzi wa kuishi ninavyotaka.
Hususan kama ni watu wazimawenye akili zao.
Ukiishinamna hii headaches nyingi zisizo za lazima unaziepuka.
Wewe mwènyewe ni mzigo. Umeishia kulalamika bila kuonyesha way forward kwamba nini kifanyike.
Okay. Hebu tuambie kikubwa cha maendeleo ambacho umewahi kuifanyia nchi hii ambacho unaona wengi wetu tumeshindwa kukifanyaNajiona tofauti kidogo na Watanzania wengi.. Kama yupo Mtz makini kama me ataungana na mimi kuuliza, mnajionaje??
HahahahaFact mkuu Nigger's always wanajiona wao ni bora kuliko wengine asa wakiwa na vitu ambavyo kwenye jamii inayomzunguka hawana.
Jiulize amefanya nini cha kumtofautisha na wengine au chenye maendeleo chanya katika dunia hii kama walivyo wachache Eg.
Newton
Zukerberg
Kwa hiyo tunabaki pale pale binadamu wote ni sawa maana kila mtu ana mapungufu yake.
Braza umepotoka sanaHakuna mahali nimemponda Mtz, kama kuna mahali nasema uongo nitaomba mods wafute uzi huu.
Kwani unaonaje, nasema uongo Chief?
Waswahili wanasema fata mambo yako.. Yasiyokuhusu wala usiwe na time nayo, waachie wenye nayo wa deal nayoKanuni moja ya maisha ninayotaka kuifuatilia kwa ukaribu sana ni kutojishughulisha sana na maisha ya watu wasionihusu.
Wao wana uhuru kuishi wanavyotaka, na mimi nina uhuru wa kuishi ninavyotaka.
Na hata kama sifurahii wanavyoishi, maadam hawajaniingiliakatika maisha yangu, nitatetea uamuzi waowa kuishi wanavyotaka, na nataka wao pia waheshimu mimi uamuzi wa kuishi ninavyotaka.
Hususan kama ni watu wazimawenye akili zao.
Ukiishinamna hii headaches nyingi zisizo za lazima unaziepuka.
Hapo kwenye bold .... usilaumu bali tafuta chanzo cha tatizo ...Nisikitike sana SANA! Mambo ninayoyaona kwa Watanzania wengi hapa Nchini na hata nje ya TZ .. Dah! ni ASANTE. Tabia zenu HAZIELEZEKI, hazieleweki! Yaani ikitokea nimeishi na Mtz ama kufanyakazi na MTz hua ni changamoto kwelikweli!
Binafsi si mchangiaji sana hapa JF cuz most of your posts sio maisha ya ulimwengu huu kidogo twitter ina reflect life lkn hapa JF .. bla bla bla nothing serious. Huwa nafurahia sana ku- socialise na watu wa nje kuliko watu hapa Tz. Kama nakosea samahani sana ila nayasema tu kwa nia nzuri. Zungumzia U - Great thinker utabaki kwa MAX na crew yake, kidogo Biashara uchumi na ujasiriamali alikuepo Ontario wengine wooote, ni ASANTE kwa kweli. HAMNA KITU
Nikifikiria kuhusa hapa nyumbani styl ya maisha mlionayo kwa ujumla hua nachoka, wakati mwingine nakosa usingizi kabisaa .. tujivunie nini TZ? Yan ni aibu (kitu sipendi maisha yangu yote). Entertainment hakuna, Siasa safi hakuna, Uadilifu zero, Uchapakazi hakuna, Time management zero! Yani ni changamoto!! You are not existing in reality, You are not existing in this world life.
Franky, nmeishi na kufanya kazi na Nigerians, Rwandese huko nje, And am not sorry to say I envy these Ppl.
Et kwani Watz mnajionaje?
Mi na analyse ulicho sema lakin sihisi kama ni ukweliHah ha
Iceman, Hold a truth with both hands bro.