Watanzania mnajionaje?

Watanzania mnajionaje?

Najiona tofauti kidogo na Watanzania wengi.. Kama yupo Mtz makini kama me ataungana na mimi kuuliza, mnajionaje??
ni ujinga mtupu kutufananisha na BOKO HARAM
auubaguzi wako wa Kitutsi
ni maisha yasiyoelzeka kabisa vifo na hofu kutoaminiana majirani vitisho na vifo vinatawala
sema Nchi nyingine lkn sio Nigeria na Rwanda
 
Kanuni moja ya maisha ninayotaka kuifuatilia kwa ukaribu sana ni kutojishughulisha sana na maisha ya watu wasionihusu.

Wao wana uhuru kuishi wanavyotaka, na mimi nina uhuru wa kuishi ninavyotaka.

Na hata kama sifurahii wanavyoishi, maadam hawajaniingiliakatika maisha yangu, nitatetea uamuzi waowa kuishi wanavyotaka, na nataka wao pia waheshimu mimi uamuzi wa kuishi ninavyotaka.

Hususan kama ni watu wazimawenye akili zao.

Ukiishinamna hii headaches nyingi zisizo za lazima unaziepuka.
Kiranga jamani
 
Mbna na mim huwa na socializes twitter bt yu can't trace lifestyle ya mtu wa twitter na anacho post,,,pia sis ni tofauti na hao wengine ndo maana we are Tanzanian and they are nigerian and others yu can't force people tu be equal,,, na pia kwa sis watanzia kwa mmoja mmoja pia tunatofautiana likewise na hao unao socialize nao they're not the same in terms of individual character,,,,.tatu umesema tupo tofauti mean umetucrash sana yet ujaelezea kweny misingi ip??
 
Kanuni moja ya maisha ninayotaka kuifuatilia kwa ukaribu sana ni kutojishughulisha sana na maisha ya watu wasionihusu.

Wao wana uhuru kuishi wanavyotaka, na mimi nina uhuru wa kuishi ninavyotaka.

Na hata kama sifurahii wanavyoishi, maadam hawajaniingiliakatika maisha yangu, nitatetea uamuzi waowa kuishi wanavyotaka, na nataka wao pia waheshimu mimi uamuzi wa kuishi ninavyotaka.

Hususan kama ni watu wazimawenye akili zao.

Ukiishinamna hii headaches nyingi zisizo za lazima unaziepuka.
Kitu kimoja tu. Siingilii uhuru wa mtu, ninataka kujua Watz mnajiskiaje mnajionaje ktk hili. Kama mko sawa ... good and well. Binafsi nataka kila mtu Duniani amtazame mtazania kichanya kama ilivyo kwa waafrica wengine wa mataifa mengine.

Wachapa kazi, wawajibikaji!
 
Nisikitike sana SANA! Mambo ninayoyaona kwa Watanzania wengi hapa Nchini na hata nje ya TZ .. Dah! ni ASANTE. Tabia zenu HAZIELEZEKI, hazieleweki! Yaani ikitokea nimeishi na Mtz ama kufanyakazi na MTz hua ni changamoto kwelikweli!

Binafsi si mchangiaji sana hapa JF cuz most of your posts sio maisha ya ulimwengu huu kidogo twitter ina reflect life lkn hapa JF .. bla bla bla nothing serious. Huwa nafurahia sana ku- socialise na watu wa nje kuliko watu hapa Tz. Kama nakosea samahani sana ila nayasema tu kwa nia nzuri. Zungumzia U - Great thinker utabaki kwa MAX na crew yake, kidogo Biashara uchumi na ujasiriamali alikuepo Ontario wengine wooote, ni ASANTE kwa kweli. HAMNA KITU

Nikifikiria kuhusa hapa nyumbani styl ya maisha mlionayo kwa ujumla hua nachoka, wakati mwingine nakosa usingizi kabisaa .. tujivunie nini TZ? Yan ni aibu (kitu sipendi maisha yangu yote). Entertainment hakuna, Siasa safi hakuna, Uadilifu zero, Uchapakazi hakuna, Time management zero! Yani ni changamoto!! You are not existing in reality, You are not existing in this world life.

Franky, nmeishi na kufanya kazi na Nigerians, Rwandese huko nje, And am not sorry to say I envy these Ppl.

Et kwani Watz mnajionaje?
Nimeamua ku quote uzi wote sasa maana umenishangaza sana.
Una point nzuri, umeelezea wa Tanzania na utanzania wao. Bila shaka unawafahamu vyema Watanzania, lakini lugha yako na uandishi wako haufanani kabisa na hadhi hiyo unayojibatizia mwenyewe ywasilishaji wako wa mambo upo tofauti sana na ni hovyo kabisa
1: Lugha mbovu
2: vifupisho vingi ( hatukuelewi)
3: Umeshindwa kutumia lugha yetu kwa usahihi( unachanganya changanya lugha!! nadhani huo ni umarekani sasa)
4: Unajitoa kwenye kundi la panya wakati wewe pia panya ( huku ni kukosa uzarendo mkuu)
Kwa aina hii wewe pia ni mbomoa nchi tu kama tulivyo sisi!! maana umesema hata mada zetu huku JF huwa hauchangii, sasa wewe unafaida gani na nchi yetu? Badilika Mkuu, tupe njia za kuwa kama hao unaowaona bora na sio kujitukana mwenyewe JF hapa
 
Kanuni moja ya maisha ninayotaka kuifuatilia kwa ukaribu sana ni kutojishughulisha sana na maisha ya watu wasionihusu.

Wao wana uhuru kuishi wanavyotaka, na mimi nina uhuru wa kuishi ninavyotaka.

Na hata kama sifurahii wanavyoishi, maadam hawajaniingiliakatika maisha yangu, nitatetea uamuzi waowa kuishi wanavyotaka, na nataka wao pia waheshimu mimi uamuzi wa kuishi ninavyotaka.

Hususan kama ni watu wazimawenye akili zao.

Ukiishinamna hii headaches nyingi zisizo za lazima unaziepuka.
Heshima yako bro! Maneno yako yameeleweka vizuri sana
 
Back
Top Bottom