Watanzania mnajionaje?

Watanzania mnajionaje?

Kiranga jamani
Sasa dunia hii ina vichaa wangapi wanaotaka kufanya ukichaa wao wenyewe?

Na mimi nitafuatilia wangapi?

Miezi michache iliyopita nilimpigia simu binamu yangu mmoja yupo Geneva, Switzerland. Baba yake mtu mkubwa sana serikalini. Na alikuwa katoa habari fulani kuhusu mkutano wa Davos. Sasa mimi mara nyingine nikitaka kufuatilia hizi habari sisomi magazeti wala kusikiliza kauli rasmi, napiga simu kuongea na watu wenye access na hizi habari kama wanafamilia, wanafunguka vizuri sana.

Nikamuuliza binamu yangu, mbona baba yako hajaenda Ulaya kutuwakilisha? Mbona Tanzania tunajifungia sana watu hawatembei kwingine duniani kutafuta biashara?

Akaniambia, binamu yangu, wewe si uko Marekani huko? Nikamwambia ndiyo. Ushajipatia makaratasi yote ya kuishi kama raia poa tu? Nikamwambia ndiyo. Akasema safi sana. Sahau hawa Watanzania na siasa zao. Wewe hakikisha familia yako iko fresh na watu wako wa karibu wako poa. Hao Watanzania siasa zao waachie wenyewe wanazijua wenyewe. Zitakuumiza kichwa tu.

Nikaona duh. Mimi huwa nakuwa na kisirani cha kufunga vioo, lakini huyu zaidi.

Lakini alinipa somo kubwa.

Mara nyingine tunahangaikia mambo ya "Watanzania" wakati hata tukiulizwa "Mtanzania" ni nani hatuwezi kumtaja.

Sitaweza kuacha kufuatilia siasa za Tanzania kama alivyoshauri yeye. Lakini pia sitakesha kufuatilia habari za "Watanzania wakoje?" bila msingi maalum.

Sorry if I come off snobbish or uppity. That is just how I feel.
 
Hapo kwenye bold .... usilaumu bali tafuta chanzo cha tatizo ...

Mfumo wa maisha ya watanzania ulivurugwa tangu awali na unaendelea kuvurugwa tu ...
Siasa ya kujitegemea ... ni mfumo gani tena huo ulimwenguni

Ruksa ... ilitusaidia nini?

Ubinafsishaji ... ilikuwa kama kuuza mali za nchi kwa bei ya kutupa ...

Maisha bora kwa kila mtanzania... yalikuwa wapi?

Sasa viwanda .... viko wapi?

Hatuko well organized na hii ni sera ya chama tawala ili kiendelee kuwa madarakani.

Watu hawajitambui kabisa! Ila safari hii tutawabadilisha tu.
Atleast, Chief. I like u.
 
Hiyo kasumba tunayo wabongo tuu dunia nzima mtu akisha panda ndege na kuongea ongea inglish basi ana dismiss wengine wote as failures.
Utaskia watanzania hawaajiriki sjui hawafanyi nini khaa!
Ni roho mbaya tu znakuwaga
Truth....
 
Wewe mwènyewe ni mzigo. Umeishia kulalamika bila kuonyesha way forward kwamba nini kifanyike.
Nafkiri wengi tumemuelewa tofauti mleta mada, mm kwa kiasi fulani nakubaliana na hoja yake yupo sahh kabisa,

Ila amebase sana kuuliza waTZ mnajionaje?
nafikiri hapo ndio tujadili tunajionaje kivipi na kwa mantiki au reference ipi.
 
Kua mvumilivu Boss, u will see.
Nilidhani labda kuna mambo makubwa umefanya ndio maana unatushangaa wenzako.

Sasa unaniomba niwe mvumilivu tena? Doh kumbe unaongea tu bila kuwa hata na kaushahidi ka uliyofanya ya maana. Eti "you will see"

Be a gentleman niqqa, usipende kukosoa kosoa wenzio au kukejeli wakati wewe mwenyewe hujitambui upo katika position gani
 
Hapo kwenye bold .... usilaumu bali tafuta chanzo cha tatizo ...

Mfumo wa maisha ya watanzania ulivurugwa tangu awali na unaendelea kuvurugwa tu ...
Siasa ya kujitegemea ... ni mfumo gani tena huo ulimwenguni

Ruksa ... ilitusaidia nini?

Ubinafsishaji ... ilikuwa kama kuuza mali za nchi kwa bei ya kutupa ...

Maisha bora kwa kila mtanzania... yalikuwa wapi?

Sasa viwanda .... viko wapi?

Hatuko well organized na hii ni sera ya chama tawala ili kiendelee kuwa madarakani.

Watu hawajitambui kabisa! Ila safari hii tutawabadilisha tu.
 
ni kweli ila ktk hii dunia tunategemeana sana kwa namna moja au nyingine...keep that in mind chief
Ni kweli mkuu ila kuna nyanja na nyanja ambazo hatutakiwi kuingiliana.

Kila mtu ana mipango yake na priorities/vipaumbele vyake. So unapokuwa umefanya jambo fulani usianze ku question wengine au kushangaa wengine kwanini hawafanyi kama wewe
 
Back
Top Bottom