Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
Najua ulivyo kuwa unasoma post ukawa unahisi na wewe unataka kuandika hivyo hivyoShem bana
Najua ulivyo kuwa unasoma post ukawa unahisi na wewe unataka kuandika hivyo hivyoShem bana
Sasa dunia hii ina vichaa wangapi wanaotaka kufanya ukichaa wao wenyewe?
Na mimi nitafuatilia wangapi?
Miezi michache nilimpigia simu binamu yangu mmoja yupo Geneva, Switzerland. Baba yake mtu mkubwa sana serikalini. Na alikuwa katoa habari fulani kuhusu mkutano wa Davos. Sasa mimi mara nyingine nikitaka kufuatilia hizi habari sisomi magazeti wala kusikiliza kauli rasmi, napiga simu kuongea na watu wenye access na hizi habari kama wanafamilia, wanafunguka vizuri sana.
Nikamuuliza binamu yangu, mbona baba yako hajaenda Ulaya kutuwakilisha? Mbona Tanzania tunajifungia sana watu hawatembei kwingine duniani kutafuta biashara?
Akaniambia, binamu yangu, wewe si uko Marekani huko? Nikamwambia ndiyo. Ushajipatia makaratasi yote ya kuishi kama raia poa tu? Nikamwambia ndiyo. Akasema safi sana. Sahau hawa Watanzania na siasa zao. Wewe hakikisha familia yako iko fresh na watu wako wa karibu wako poa. Hao Watanzania siasa zao waachie wenyewe wanazijua wenyewe. Zitakuumiza kichwa tu.
Nikaona duh. Mimi huwa nakuwa na kisirani cha kufunga vioo, lakini huyu zaidi.
Lakini alinipa somo kubwa.
Mara nyingine tunahangaikia mambo ya "Watanzania" wakati hata tukiulizwa "Mtanzania" ni nani hatuwezi kumtaja.
Sitaweza kuacha kufuatilia siasa za Tanzania kama alivyoshauri yeye. Lakini pia sitakesha kufuatilia habari za "Watanzania wakoje?" bila msingi maalum.
Sorry if I come off snobbish or uppity. That is just how I feel.



Asante sana.Kiranga Michango yako huwa naiheshimu sana bro....
Heshima kwako....
Hili jamaa liko viziri upstairs sema ndio hivyo alimwamini Mungu aisee.....




























Nikweli lakini mimi nimejitahidi kuizoom ndani ya kichwa hivyo hivyo tu...Msg yake haijafika sawasawa..
Hahaha. Mungu? Nimekuelewa maana yako.We babu jamani Mungu azidi kukuweka tu
Hahaha. Mungu? Nimekuelewa maana yako.





Hapo najua tupo tofauti lakini uzidi kuishi maisha marefu tuuuuu
Najua ulivyo kuwa unasoma post ukawa unahisi na wewe unataka kuandika hivyo hivyo






Mkuu acha dharau kwa sisi watz,huku ndiko kwenye asili yako.Najiona tofauti kidogo na Watanzania wengi.. Kama yupo Mtz makini kama me ataungana na mimi kuuliza, mnajionaje??
Ukweli una vazi lake mkuu na vazi jenyewe ni busara, endapo ukweli ukiunyima hilo vazi basi ujumbe au huo ukweli hautafika moja kwa moja kwa mlengwa zaidi utampa mtihani wa kuanza kukuchambua wewe zaidi badala ya unachokiwasilisha......Vizuri kama umeelewa, nachotaka kusema ukweli hauvishwi nguo otherwise tunachelewa sana kwa kudhan ukweli usipova nguo ni udharilishaji. Ni mtazamo wako juu ya uwasilishaji.
Nipo kwenye right track. Come join my cliqueMe mzigo, nmekubali ..
Natamani unielewe kila mtu aelewe then tuje na soln. Unajionaje Chief, ni sahihi kubaki mahali tulipo??
You are misusing that term.Ukweli una vazi lake mkuu na vazi jenyewe ni busara, endapo ukweli ukiunyima hilo vazi basi ujumbe au huo ukweli hautafika moja kwa moja kwa mlengwa zaidi utampa mtihani wa kuanza kukuchambua wewe zaidi badala ya unachokiwasilisha......
Hah ahNipo kwenye right track. Come join my clique
Bora iwe hivyo tuYou are misusing that term.
I thought it was a simple msg to understand .. beta end this discussion
Jifunze kuandika kwanzaNisikitike sana SANA! Mambo ninayoyaona kwa Watanzania wengi hapa Nchini na hata nje ya TZ .. Dah! ni ASANTE. Tabia zenu HAZIELEZEKI, hazieleweki! Yaani ikitokea nimeishi na Mtz ama kufanyakazi na MTz hua ni changamoto kwelikweli!
Binafsi si mchangiaji sana hapa JF cuz most of your posts sio maisha ya ulimwengu huu kidogo twitter ina reflect life lkn hapa JF .. bla bla bla nothing serious. Huwa nafurahia sana ku- socialise na watu wa nje kuliko watu hapa Tz. Kama nakosea samahani sana ila nayasema tu kwa nia nzuri. Zungumzia U - Great thinker utabaki kwa MAX na crew yake, kidogo Biashara uchumi na ujasiriamali alikuepo Ontario wengine wooote, ni ASANTE kwa kweli. HAMNA KITU
Nikifikiria kuhusa hapa nyumbani styl ya maisha mlionayo kwa ujumla hua nachoka, wakati mwingine nakosa usingizi kabisaa .. tujivunie nini TZ? Yan ni aibu (kitu sipendi maisha yangu yote). Entertainment hakuna, Siasa safi hakuna, Uadilifu zero, Uchapakazi hakuna, Time management zero! Yani ni changamoto!! You are not existing in reality, You are not existing in this world life.
Franky, nmeishi na kufanya kazi na Nigerians, Rwandese huko nje, And am not sorry to say I envy these Ppl.
Et kwani Watz mnajionaje?