capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,267
- Thread starter
- #141
Huezi kujibu yanini coment, chief?Inapofikia hatua ya kuona maisha ya watanzania ni ya ajabu hapa unafikia hata kuona kizazi chako (Baba na Mama) ni watu wa ajabu kuliko sisi.
Umewahi kujiuliza hiyo jamii uliyopo unavyokuona wa ajabu?
Watanzania sisi ni wapuuzi na wajinga wa kiwango cha juu huna uwezo wa kuubadilisha kifikra au kimtazamo juu ya maisha yetu, tunaishi tutakavyo ili mradi hatuvunji sheria zetu na maisha yetu haya yanatufanya tuzoee kile tunachofanya.
Kufika tu hapo Goma umeanza kutuona mbwa je ungefika Uturuki au Uarabuni si ungejiua kwa chuki zako dhidi yetu.
// Mnajionaje

